Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende kwa wanaumeAchana na wanawake
dah aisee. hivi ni lazima kuishi nae? taabu yote ya nini?Hahahahahahahahahah unaweza ishi na mwanamke ndan akipata safari mwanaume unafrai mpaka anajuwa na kujiuliza mmm mbona Mr kafurahi hivi
dah aisee. hivi ni lazima kuishi nae? taabu yote ya nini?
.
.
mke si mama yako!
mume si baba yako!
Hapana ndugu. naona kama mke anakupa taabu sana. Akisafiri unafurahi [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ni kama upo jela hivi.Da jamaa mbona umecharuka ghafla ?
Hapana ndugu. naona kama mke anakupa taabu sana. Akisafiri unafurahi [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ni kama upo jela hivi.
Mapenzi haya jamani! Hivi kwanini binadamu tunapeana shida kiasi hiki? Eti mkuu kwa mtazamo wako ndoa zina umuhimu wowote kwa kizazi hiki?Ha wewe washangaa ? Uliza vizuri wanawake wenzako hebu waulize wakiaga wanawaona wame zao wakisononeka ? tena usiombe mke anakwambia naenda home kama week ila siendi na house girl unaweza fanya party
Mapenzi haya jamani! Hivi kwanini binadamu tunapeana shida kiasi hiki? Eti mkuu kwa mtazamo wako ndoa zina umuhimu wowote kwa kizazi hiki?
nilishaolewa miaka 47 iliyopita. kero ni nyingi kuliko raha! raha ni moja tu!Hahahahahhahaha wewe tu na akili zako mkuu ila kuimiliki ile kitu iko raa yake asikuambie mtu, wewe olewa tu
Hawakutishi. Hiyo ndio hali halisi ya ndoa zetu.Nyie watu mlio oa.. mnatutisha sisi mabachela...
The problem is people are SELFISH and they DONT CARE.....Mapenzi haya jamani! Hivi kwanini binadamu tunapeana shida kiasi hiki? Eti mkuu kwa mtazamo wako ndoa zina umuhimu wowote kwa kizazi hiki?
Hakuna ndo zenye raha na amani. Utofauti kudumu na kutokudumu wa ndoa ni UVUMILIVU wa hao watu.Hawakutishi. Hiyo ndio hali halisi ya ndoa zetu.
.
.
Ila ndoa zenye raha na amani zipo. Usikate tamaa!
[emoji817]Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Hahahaa umenifurahisha mkuuNdio ukute kasoma soma na DS 101 mambo ya Gender ndo utakoma
Mwisho watoto wanabaki yatima.[emoji817]
nilishaolewa miaka 47 iliyopita. kero ni nyingi kuliko raha! raha ni moja tu!
Upo sahihi. Kama ni hivyo kwanini bado watu wanaingia kwenye ndoa wakati matatizo yake tunayajua fika? Ni shida kwa kweli..Hakuna ndo zenye raha na amani. Utofauti kudumu na kutokudumu wa ndoa ni UVUMILIVU wa hao watu.
Mimi mwenyewe wazazi wangu nimeona shida zao nikikua and they are together but UVUMILIVU ndio umesaidia na ndio tofauti ya zamani na sasa NOW HAKUNA MWENYE UVUMILIVU WA.KIWANGO HATA 40%.