Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Hahahahahahahahahah unaweza ishi na mwanamke ndan akipata safari mwanaume unafrai mpaka anajuwa na kujiuliza mmm mbona Mr kafurahi hivi
 
dah aisee. hivi ni lazima kuishi nae? taabu yote ya nini?
.
.
mke si mama yako!
mume si baba yako!
 
Hapana ndugu. naona kama mke anakupa taabu sana. Akisafiri unafurahi [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ni kama upo jela hivi.

Ha wewe washangaa ? Uliza vizuri wanawake wenzako hebu waulize wakiaga wanawaona wame zao wakisononeka ? tena usiombe mke anakwambia naenda home kama week ila siendi na house girl unaweza fanya party
 
Mapenzi haya jamani! Hivi kwanini binadamu tunapeana shida kiasi hiki? Eti mkuu kwa mtazamo wako ndoa zina umuhimu wowote kwa kizazi hiki?
 
Hahahahahhahaha wewe tu na akili zako mkuu ila kuimiliki ile kitu iko raa yake asikuambie mtu, wewe olewa tu
 
Mapenzi haya jamani! Hivi kwanini binadamu tunapeana shida kiasi hiki? Eti mkuu kwa mtazamo wako ndoa zina umuhimu wowote kwa kizazi hiki?
The problem is people are SELFISH and they DONT CARE.....
Thats why kama.kwenye dunia hii mnaota true love sijui kwa sisi binadamu i suggest uhamie PLUTO labda unaweza kupata mtu huko.
 
Hawakutishi. Hiyo ndio hali halisi ya ndoa zetu.
.
.
Ila ndoa zenye raha na amani zipo. Usikate tamaa!
Hakuna ndo zenye raha na amani. Utofauti kudumu na kutokudumu wa ndoa ni UVUMILIVU wa hao watu.
Mimi mwenyewe wazazi wangu nimeona shida zao nikikua and they are together but UVUMILIVU ndio umesaidia na ndio tofauti ya zamani na sasa NOW HAKUNA MWENYE UVUMILIVU WA.KIWANGO HATA 40%.
 
Upo sahihi. Kama ni hivyo kwanini bado watu wanaingia kwenye ndoa wakati matatizo yake tunayajua fika? Ni shida kwa kweli..
 
Back
Top Bottom