Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Wakati nausoma huu uzi nilikua nauona wa kawaida sana

Leo mimi ni shahidi mzuri sana

Mke anakesha anapekenyua simu .Hatulali tunajibizana mbona huyu dada kalike picha yako

Kitu kidogo tu amenuna ,nahisi naelekea kushindwa
Pole mkuu. Changamoto za ndoa ni kubwa sana. Option ni zifuatazo;
1. MPUUZE, Akitaka kwenda, aende salama.
2. Mpe mipaka ya kufuatilia privacy zako akiendelea mtandike kipigo kitakatifu.
 
Wakati nausoma huu uzi nilikua nauona wa kawaida sana

Leo mimi ni shahidi mzuri sana

Mke anakesha anapekenyua simu .Hatulali tunajibizana mbona huyu dada kalike picha yako

Kitu kidogo tu amenuna ,nahisi naelekea kushindwa
Ni mke kweli au girlfriend or mchumba?

Kama ni mke that's a very small thing to let her go mkuu
 
Pole mkuu. Changamoto za ndoa ni kubwa sana. Option ni zifuatazo;
1. MPUUZE, Akitaka kwenda, aende salama.
2. Mpe mipaka ya kufuatilia privacy zako akiendelea mtandike kipigo kitakatifu.
Sio laisi hivyo kusema namuacha
 
Wakati nausoma huu uzi nilikua nauona wa kawaida sana

Leo mimi ni shahidi mzuri sana

Mke anakesha anapekenyua simu .Hatulali tunajibizana mbona huyu dada kalike picha yako

Kitu kidogo tu amenuna ,nahisi naelekea kushindwa
Hakuna kushindwa komaa endelea kumuelewesha yeye sio mjinga lazima kuna vitu anahisi
 
Pole mkuu. Changamoto za ndoa ni kubwa sana. Option ni zifuatazo;
1. MPUUZE, Akitaka kwenda, aende salama.
2. Mpe mipaka ya kufuatilia privacy zako akiendelea mtandike kipigo kitakatifu.
Utaniua mkuu,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mimi wangu ananipeleka vibaya sana,,ikiingia sms tu akiskia jingle anataka asome yeye..daaah!!..
 
Hakuna ndoa isiyokuwa na matatizo, na bahati nzuri hayo matatizo ndo rutuba ya kuidumisha, ila hakuna sumu kubwa ya ndoa kama kusuluhishwa na watu mkiwa na mgogoro, matatizo ya ndoa hutatuliwa na wanandoa wenyewe, mkishamshirikisha hata mzazi tu juu ya ugomvi wenu mnapalilia kuivunja ndoa yenu. Hakuna mwalimu wa ndoa, hakunaga wala hatakuwepo.
Mkuu hili umeongea ni kweli kabisa yani ukweli mtupu, mimi huyu wangu tunatibuana mpka analia inafikia hatua mtu anataka kuondoka usiku usiku kwenda kwao namwambia nenda, ila akiwa anatoka namwonea huruma namfata namwambia lala utaondoka asubuhi ,nikimrudisha tu ,namsema weeee anabaki analia ,akianza sasa kumwaga fact najikuta naumia sana ,anaanza sasa kuniambia:

" Baba Stecy tukiachana mm na wewe mtoto etu atapata shida sipend kumuona mwenetu anateseka kwasababu ya upumbavu wetu ,kama isingekuwa mtoto mm hata usiku uu uniembie niondoke ntaondoka ila ujue nakupenda sana ,ww ndio mme wangu siwezi acha kukwambia uo ukweli, na unajua ni jinsi gani nakupenda ,najua nimekuumiza mme wangu ila nisamehe sana naomba nipe nafasi nyingine tena nirekebishe hya mambo yanazungumzika……. Huku analia… .,,dah unakuta hasira zilikuwa zimenikaba mpka machozi yananitoka kwa hasira ,akishasema hvyo najikuta naanza kuwaza hv kweli nataka kumuacha huyu mwanamke then badae nije niwe na mwingine af anitesee mwanangu af aje anifanyie jambo kubwa kuliko hili ntafanyaje? Hv siitakuwa aibu kurudi kumwomba msamaha turudiane?? Na je nikirudi kumwomba msamaha turudiane af nikute ameolewa na lijamaa lingine af mwanangu apate shida ,sasa nkitaka turudiane ukute upendo ushahama kwa jamaa,… dah nikishawaza hayo nashikwa na uchungu sana af naanza kujitathmini na mm nasema nilifanya kosa hili akanisamehe ,nilimcheat af hakujua ,dah najikuta naanza kumbembeleza yaishe, asubuhi anaamka anafanya usafi kazi zote ananiandalia chai af ananifata kitandani ananiamsha ,mme wangu majia ya kuoga tayari ila nna maongezina ww kabla ujaenda kuoga,,,

" mme wangu najua nimekukosea sana nisamehe nikuaidi sitarudia tena ,najua mm ni binadamu nilifanya either kwa kutokujua ,naomba tuanze upya mpenz wangu… ..

Yani ndio nazidi kurojoka najikuta nmkumbatia namwambia nimekusamehe ,sawa nakuomba usifanye tena kitu kama hicho. Apo macho yamemvimba kwakulia usiku kucha ..

Any way nadhani kila mtu ana njia yake yakusuluhisha magomvi ya ndani kwake mm nashujuru nimepewa mke wa tabia hiyo ya kuomba msamaha kwa namna hiyo pindi anapokosea ,namshukuru Mungu kwa mtu huyu ,mm mwenyewe namkosea sana ila ananifundisha kitu. Usipende kupeleka magomvi kwa mtu mwingine labda mkishindwa kabisa kabisaaaaaaa

Nawasilisha
 
hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Anayekubaliana na mimi kwa mambo haya ntakayo orozesha hapo chini agonge like:
1: huyu sio mwanamke wakuoa
2: huyu mkipata mali anakuuwa ndani ya miezi miwili kwa presha
3: huyu mwanamke anaongea kama cherehani
4: huyu mwanamke kwa vyovyote vile mme wake ana hati hati ya kupata presha
5: huyu mwanamke apatani na mawifi zake
6: hana maelewanao na wakwe zake
7 : hapendi ndugu wa mume
8: inaonekana wazi kabisa kamkalia mumewe kichwani yeye ndio kawa kichwa cha nyumba
9: ukikutana na mwanmke wa hv bisha usibishe utakimbia
10: ukioa mwanamke wa hv utapangiwa tendo la ndoa
11:………… .mengine endelezea hapa……..,
 
Hawa viumbe pasua kichwa sana ila tuwenao tu mana hakuna kwa kuwaamishia, ila ni wasumbufu zaidi ya Mbu.
 
Me nataka kuoa ila nina miaka 21 mnanishauri vipi ndugu yangu na Joyce wangu nishamchumbia bado kupeleka mahari milioni 6.
 
Back
Top Bottom