Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Je mnajua kukaa na wanaume ni kazi ambayo ni kubwa sana .
Mnatesa sana wake zenu tena mkijua wanawategemea.
Vijidudu vyenu mna sambaza kila mahali .
Nakumletea mwanamke mateso mara magonjwa ya azinaa .
Unampiga kisa umempata alima.
Unampiga kisa umekuka umeleewa huna hata haya kabisa .
Mwanamke aliyekuzalia hawa na adam wazuri wanaofanana nawewe.
Unampiga mpaka unaua mama wawatoto wako halafu unaoa halima.
Au unamfukuza yeye na watoto.wako.
Hamna haya unamjibu mbele za watoto vibaya unamdharau kisa amepitisha mabichwa ya watoto wako kwaaumivu makali wakatoka salama hamna haya kabisa nyie.
Humpi haki yake kwa maana eti ameshazaa hana ladha tamu tena.
Eti kidudu chako kinamfaa amina na halima na akina furaeli sasa umeoa yanini.
Unakuja muda unaotaka eti hapo nikwako na hakuna mtu ambaye atakuambia chochote.
Ukisema unapigwa kama nini .
Unalala kama nini hujui hata watoto wamekula nini.
Kutoa hela yako ni ngumu kwa kila hitaji la watoto.
Unakuta hujalogwa hujakosa chochote hela ipo ila uko radhi ule na malaya na unarudi nyumbani umekula mlo ambao watoto wako hawajala wanamiaka nayo.
Sijawahi kuona watu waajabu
Na akina mama wanaoishi nao nikazi.
Nyie niwanyama mnaotembea na miguu miwili.
Nibora uolewe porini.
Mkienda sasa harusini ataki aonekane nawewe.
Atatafuta sababu mkutane naye ukumbini.
Nyie eti mnamgombeza wake zenu mbele za malaya zenu.
Si umnyamazishe huyo mtoto analia kama nini kumbe mtoto amemis upendo wa baba au ananjaa.
Hajala vizuri asubuhi nyie wanaume mnadhambi sana tubuni.
 
Furaha ya ndoa ni pale ukumbini.
Na miaka michache tu ambayo mnaanza kuishi.
Ila mengineyo wai madharau started navipigo na misaada kupungua.
Niwaulize nyie wanyama mnapozaa na mwanamke hao watoto wanakuwa wajirani yako ??
Au wanakuwa wako .
Hivi hizo bar mnazojinadi nazo mnaenda nizakaka zenu au mnahisa hapo kwa maana nyie ni watu ambao laana zipo kwenye maisha yenu yaani mmelaaniwa.
Kazi ipo.
Yaani mnavisa kama mliforciwa huyo mwanamke nauku niwewe ulikubali kumuoa kwa ridhaa yako mwenyewe.
 
Kuna wanawake hawapendeki aisee. Mume unaweza kumheshimu mkeo, yeye mke anakua kijogoo anakugombeza mbele ya kadamnasi, unaona isiwe ishu wacha nipotezee, baadae unamuuliza aisee pale ilikuaje unigombeze vile ooh Mume wangu zile hasira tu. Daah!
 
Hahahah that's y tunawachukulia waume zao
Waache wabaki na magubu,uchafu,uchoyo,umbea,kuzurura mitaan hovyo,kutokutunza watoto vyema vitoto vinashinda na minguo ya mikojo mama yuko mtaa wa 3 anasogoa, ubinafsi,unafki wakijificha kwenye mwamvuli wa ulokole
Wakija small house mahaba kama yote,msosi safi,lugha laini,madeko ndo usiseme,nyumba safi muda wote,hakuna mashost nyumban muda wote,tunawapetpet,twawaogesha,twawapa mitindo yotee hakuna kununiwa hata kama kakosea unamwelewesha kistaarabu tena kunako 6 kwa 6,kwann jamaa asidate na small house aka mchepuko?
 
Suluhisho la yote hayo ni MICHEPUKO ndio itakayokuweka active.

Hata ukimuacha ukitafuta mwengine basi utakutana na hayohayo tu. Wanawake wanakua watamu na wanaleta furaha wanapokuwa michepuko naasio wake. Ushauri wangu tafuta michepuko machungu yatapungua tu.
Michepuko hoyeeee
 
Najaribu kukusoma, wewe ni miongoni wa wake wenye maneno kama cherehani[emoji3]
Jamaa atakuwa anapata shida, ila wanawake wengi wenye maneno mengi hawadumu kwa ndoa[emoji12]
.
Hata hivyo dawa kubwa ya ndoa ni mwanaume kuwa na wake wawili au zaid,
Hahaaa Nimeipenda hii
 
Hata mimi nilikuwa naye wa hivyo hivyo, sijui ndio huyo huyo mkuu?
Sasa bora hata angekuwa anakata mauno mtu ungeweza kuvumilia mauno yenyewe hamna. Kuboana kama dozi kutwa mara 3.
 
Ndo maana Mungu akaagiza kuishi nao kwa akili.
 
Hahaaaaa tatizo nyie huwa mnaharibu uaminifu na mchepuko hamuwahi smart sasa ukiomba msamaha unajua yameisha kumbe liko moyoni sasa yeye hutafta pakumulia.

Hata nyie ni kero huwa tunawavumilia na kupuuza sema nyie ndo mnajiona mna haki.
Cariha, kwenye hili la perfume huyu dada alikosea.Inawezekana ilikua mara ya kwanza kununuliwa ndio maana akahisi hivyo ila alikosea.
 
Mola atufanyie wepesi kwa hawa Wagalatia wenzetu. Vinginevyo unaweza kununua kesi
 
Kweli hapo alikosea sana kumkatisha moyo inaonyesha hana shukrani hafu mwenzake katoka safari angempokea na busu hafu mkiwa partners yabidi msilale na jambo moyoni, malizeni yote.
Cariha, kwenye hili la perfume huyu dada alikosea.Inawezekana ilikua mara ya kwanza kununuliwa ndio maana akahisi hivyo ila alikosea.
 
Back
Top Bottom