Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Hahaaaaaaa!! Ukijisikia nambie Cariha & Pablo,bila Shaka tutaendana,naahidi sitochepukaNitaolewa nikijiskia aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaaa!! Ukijisikia nambie Cariha & Pablo,bila Shaka tutaendana,naahidi sitochepukaNitaolewa nikijiskia aisee.
No commentUmeolewa?
Umesema kweli. Mara kadhaa najutia kuoa. Imenikwamisha mambo mengi sana.Ndo maana Mimi nilianzisha Uzi kwamba mwanaume ukitaka kuishi Maisha marefu usioe
Hii ndio wanaiita karma etimakubwa mmeanza kuwasema huku...watawanyoosha hakika ....kuna waliooa wanafurahia hawakuwahi hata kujutia kuwaoa wake zao na kuna ambao wanajutia kuoa hahaha..halafu hapo vuta picha na mwanamke ulimwacha bila sababu na alikuonyesha upendo wa dhati halafu ukamwona kama bwege,,,hapo lazima umkumbuke,,,,,tehteh....uwiii
Kutwa kujisikilizisha mahubir ya Mwakasege lakini hajui lolote kuhusu ndoa
Jioe mwenyewe..kama humpi heshima mmehebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Duuu!!! Bila Shaka ya kikristo hip,wife Malaya nini?Umesema kweli. Mara kadhaa najutia kuoa. Imenikwamisha mambo mengi sana.
Mzee huyo mtoto wa kichaga anakupa stress sànaKutwa kujisikilizisha mahubir ya Mwakasege lakini hajui lolote kuhusu ndoa
Full stress ukichanganya na kupwaya basi unajionea tabu tuMzee huyo mtoto wa kichaga anakupa stress sàna
Utakuwa unaishia kujipoza tu ambiance haha,mpige chini achana naeFull stress ukichanganya na kupwaya basi unajionea tabu tu
Ambiance nimeshakuwa STAFF kabisa hata kama sina hela nakopeshwa.Utakuwa unaishia kujipoza tu ambiance haha,mpige chini achana nae
Ambiance nimeshakuwa STAFF kabisa hata kama sina hela nakopeshwa.
Ntakuja kutembelea hapo,hivi Bei elekezi Ni sh.ngapAmbiance nimeshakuwa STAFF kabisa hata kama sina hela nakopeshwa.
Huyu anajipa stress mwenyewe mwanaume wa kununua malaya ambiance na kubeba gundu za machangu unategemea atakosa stress. Mchawi wa mtu ni mtu mwenyeweMzee huyo mtoto wa kichaga anakupa stress sàna
Tatizo sio kuchepuka bora ambaye Ana akili ya kutafta hela, sio wachepuka huku huna akili ya meandeleo bora ukafilie huko mbele.Hahaaaaaaa!! Ukijisikia nambie Cariha & Pablo,bila Shaka tutaendana,naahidi sitochepuka
Kwa taarifa tu nina mpango wa kumuweka ndani mtoto mzuri Zai 0754950913.Ndo mana mke hakupi mume wa kwenda ambiance bora ndoa ife. Wewe ni tatizo kwa ndoa yako kufa. Mkeo ndo mana ka kupuuza licha ya kununua za malaya bado huna amani. Ungekuwa mume wangu ningekunyoosha wallah
Kwa taarifa tu nina mpango wa kumuweka ndani mtoto mzuri Zai 0754950913.
Sasa hapo unawaongelea wanaume 99.9999% , sidhani Kama Kuna mwanaume hafanyi uzinziHuyu anajipa stress mwenyewe mwanaume wa kununua malaya ambiance na kubeba gundu za machangu unategemea atakosa stress. Mchawi wa mtu ni mtu mwenyewe
Hela tu za nyumba,gari nzuri na Bata za hapa na pale zipo sana tuuTatizo sio kuchepuka bora ambaye Ana akili ya kutafta hela, sio wachepuka huku huna akili ya meandeleo bora ukafilie huko mbele.