Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahhahah kuna mtu alimvurugaMdogo wako huyo alikuwa aharibu hali ya hewa hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahah kuna mtu alimvurugaMdogo wako huyo alikuwa aharibu hali ya hewa hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitunzie sawa mtoto mzuri?Yani niki ona vilio hamu inanipaa Kuwa single raha huumii na up.umbavu wa mtu mzima mwenzako loh.
Niko hapa jamani
Hahhaha kulichafuka nilitekwa yaani acha tuhahah jana bahar ilichafukwa ulifichwa wapi kwanza maan hukuonekana kabisa
Umekua mpole sana sijawahi ona[emoji23][emoji23] eti kikonki konki! Siwezi kuwa na id ya kiume
Hahhaha kulichafuka nilitekwa yaani acha tu
Hahaha mm nimetekwa na shemeji yako ujue na we utekwe na shemeji yangunami natak nitekwe pia niletee mtekaji
Hahaha mm nimetekwa na shemeji yako ujue na we utekwe na shemeji yangu
Ahahaha kaka Mimi mchagga ila nitaoa Mke bora kabisa!!Mabinti Wa kichaga ujipange
Walaaa..kawaida tuUmekua mpole sana sijawahi ona
Pole
Huyo hatakua mchaga. Maana wangu nimetumia mbinu za diplomasia na Armed struggle (makofi/makonzi) but anabadilika siku 2 ya 3 anarudi kule kule. Majuzi aliniletea upuuz wa kuondoka na wanangu bila ruhusa yangu nilipomkataza akaanza kupandisha nilimuwashia moto brek ya kwanza dawati la jinzia.Ahahaha kaka Mimi mchagga ila nitaoa Mke bora kabisa!!
Hot with brain... mwenye hofu ya Mungu na anayejua wajibu wake,huyo atakua rafiki kuliko Mke
Hayo yatawezekana kwakua Mungu atakua upande wangu.
Duuh kupiga mwanamke nomaHuyo hatakua mchaga. Maana wangu nimetumia mbinu za diplomasia na Armed struggle (makofi/makonzi) but anabadilika siku 2 ya 3 anarudi kule kule. Majuzi aliniletea upuuz wa kuondoka na wanangu bila ruhusa yangu nilipomkataza akaanza kupandisha nilimuwashia moto brek ya kwanza dawati la jinzia.
**hawa viumbe lazima kuwatandika mabanzi ili twende sawa
Tarime bila hiyo mambo hayaendiDuuh kupiga mwanamke noma
SpaceMan, umetoa maneno ya kitaalam sana, Big up mkuuShida ni kama ulikosea kuoa au kuolewa, changamoto zipo katika maisha ya ndoa. Ni kuomba sana Mungu kwa imani yako kikamilifu hasa pale unapohisi kuanguka au kuzidiwa na maumivu, kuna muda kwenye ndoa mambo yanakuwa magumu unaona kabisa mkeo anakuwa na tabia za kukwaza bila sababu. Lakini ndo unakumbuka kuwa ndoa ni commitment ya hali ya juu, never revenge haisaidii bali inazidisha shida. Sali sana, ask for peace and answers, usijibu au fanya maamuzi pale anapokuwa amekuvuruga.
Ni kujua tu women are complicated, mwanamke huyu huyu ukiwa kind, polite and a loving husband anakupanda kichwani. Ukichange na kuwa strict anasema mkali, but just love your wife. Kaa na mkeo kiakili, kama she is smart she will know the kind of a husband she has. Na pia we all make mistakes, and so lets forgive. Japo isiwe tabia ya kufanya kusudi.