Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kwa kweli sijui watu wanawezaje kuishi na mke mbishi na maneno mengi asiyeweza kumezea jambo. Niliishia kwenye uchumba na mtu kama huyo nikabwaga manyanga. Ile ni adhabu ambayo sikua tayari kuikumbatia milele.
Najaribu kukusoma, wewe ni miongoni wa wake wenye maneno kama cherehani[emoji3]
Jamaa atakuwa anapata shida, ila wanawake wengi wenye maneno mengi hawadumu kwa ndoa[emoji12]
.
Hata hivyo dawa kubwa ya ndoa ni mwanaume kuwa na wake wawili au zaid,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom