establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
- Thread starter
- #1,381
Mke anataka unafiki wa kiwango Cha juu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungejua huwa siongoi mpaka sometimes mr. huwa ananiona kama nna kiburi vile, me vyangu vitendo tu
Wrong!
Exactly. Kumbe wote ni tunavumiliana. Ila ni rahisi sana kuona mapungufu ya mwenzio kuliko ya kwako
Mwishowe wanasingizia mke kamuua kumbe alianza mwenyewe sasa maji yakabadili mkondo na Israeli kampitiaWanawake wana level kubwa ya uvumilivu, ndio sababu hata wanachelewa kufa, na ni wachache sana wanakufa kwa heart attack, mwanaume ni dhaifu kwenye roho, sio kwenye matendo.
Kwa matendo mwanaume ni very strong, lakini kwa ndani ni moyoni ni dhaifu. Wanawake wanaojua hili wamefanikiwa sana katika maisha yao ya mahusiano hata ya kazini.
AmenTufuate maandiko yanavyotwambia wala hatutapa shida sana...
1. Tumeambiwa mwanamke na amtii mumewe.
2. Mume ampende mkewe.
3. Mwanamke ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Ishinini kwa kuchukuliana kwani hakuna mkamilifu chini ya dunia hii. Fanyeni ibada na msiache kuziombea ndoa zenu
Pengine Kuna Confounding variables
Sio mvunguni?WAPALESTINA ni mwisho wa RELI. Kuna jirani yangu anakula mkong'oto balaa siku majiran kwenda kuulizia tulipatwa na aibu maana jamaa alijificha chumbani
Kwa kumbukumbu zangu ..ulisema aliingiza na kuchomoa Mara Moja tuu ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nirekebishe km nimekoseaKwani wewe si alikupa offer ya kuoa mwanaye vipi umeshaoa tayari?
Asilimia 99 ya Ndoa zote duniani Zina exist sababu ya Watoto huo ndio Ukwelii mchungu sanaa kumezaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muulize hata Obama au Trump atakwambiaaa... Ndoa si mchezoo.