Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Wanawake wana level kubwa ya uvumilivu, ndio sababu hata wanachelewa kufa, na ni wachache sana wanakufa kwa heart attack, mwanaume ni dhaifu kwenye roho, sio kwenye matendo.

Kwa matendo mwanaume ni very strong, lakini kwa ndani ni moyoni ni dhaifu. Wanawake wanaojua hili wamefanikiwa sana katika maisha yao ya mahusiano hata ya kazini.
Exactly. Kumbe wote ni tunavumiliana. Ila ni rahisi sana kuona mapungufu ya mwenzio kuliko ya kwako
 
Wanawake wana level kubwa ya uvumilivu, ndio sababu hata wanachelewa kufa, na ni wachache sana wanakufa kwa heart attack, mwanaume ni dhaifu kwenye roho, sio kwenye matendo.

Kwa matendo mwanaume ni very strong, lakini kwa ndani ni moyoni ni dhaifu. Wanawake wanaojua hili wamefanikiwa sana katika maisha yao ya mahusiano hata ya kazini.
Mwishowe wanasingizia mke kamuua kumbe alianza mwenyewe sasa maji yakabadili mkondo na Israeli kampitia
 
Tufuate maandiko yanavyotwambia wala hatutapa shida sana...

1. Tumeambiwa mwanamke na amtii mumewe.

2. Mume ampende mkewe.

3. Mwanamke ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Ishinini kwa kuchukuliana kwani hakuna mkamilifu chini ya dunia hii. Fanyeni ibada na msiache kuziombea ndoa zenu
Amen

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Asilimia 99 ya Ndoa zote duniani Zina exist sababu ya Watoto huo ndio Ukwelii mchungu sanaa kumezaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muulize hata Obama au Trump atakwambiaaa... Ndoa si mchezoo.
 
Ndoa si mchezo kama una mwanamke asid jitambua katika kile akipendacho.

Mwanamkee hajui kitu chochoteee hata kupikaa tuu ni shidaaaaa...?

Mwanamke anajua kuangalia move na kutegemea sex on bed

Sa huyo ukioa lazima ndani kutawaka moto
 
Kwani wewe si alikupa offer ya kuoa mwanaye vipi umeshaoa tayari?
Kwa kumbukumbu zangu ..ulisema aliingiza na kuchomoa Mara Moja tuu ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nirekebishe km nimekosea
 
Asilimia 99 ya Ndoa zote duniani Zina exist sababu ya Watoto huo ndio Ukwelii mchungu sanaa kumezaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muulize hata Obama au Trump atakwambiaaa... Ndoa si mchezoo.

Mi nachekaga sana mtu anaposema ndoa si mchezo halafu unakuta yeye hajaoa ila ameshaachana na wanawake zaidi ya 20 mpaka sasa.

Kama kwenye uchumba kungekua hamna changamoto basi hapo kidogo ungestahili kusema ndoa si mchezo..ila we kila kukicha unaachana na wanawake halafu unasema ndoa si mchezo inakua haileti maana.

Ni sawa na Iraq kuicheka Afghanistan kwa machafuko ndani ya nchi, wakati na yeye kwake yapo.
 
Ndoa ni pande mbili.

Kila mtu anavumilia ya mwenzake.

Kama unaona lako dogo ujue kwa mwingine ni kubwa.

Binadamu tuna utofauti wa kutafsiri changamoto katika mahusiano.

Ndoa ni kuvumiliana. Sio fantasy.
 
Back
Top Bottom