Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Habari zenu,
Nimeona uzi wa Mdau akilalamika kuwa Mtoto wa Single Mother anadekezwa sana na Mama yake na akitaka kuchukua hatua Mama mtu anasema anamnyanyasa mwanae.
Kiukweli suala la kuishi na mtoto wa mtu ni jambo gumu sana maana unahitaji kuwa Boya na Pretender ili uonekane una mapenzi kwa mtoto, ni watu wachache sana wanaoweza kuishi maisha ya namna hiyo.
Kama umezaa na kuna uwezekano wa Mtoto kuishi mbali basi ni vyema mkafanya hivyo kuliko kuleteana maneno kwenye malezi ya mtoto wa nje.
USHAURI
KAMA HAUNA MTOTO NI VYEMA UKATAFUTA MWENZA ASIE NA MTOTO ILI KUEPUSHA MANENO KWENYE MALEZI.
Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye
Makaveli. Roma empire haikujengwa mwaka mmoja. Mke bora hutengenezwa. Kutengenezana pia sio week moja. Ampe nafasi ya kurekebishika. Kumbuka huyo mtoto ndiye faraja prkee aliyokuwa nayo huyo mwanamkemwanamke hana akili ya kujijenga ? mwanamke wa hivyo ni bomu Sent from my HUAWEI NXT-L29...www.jamiiforums.com
Mpaka aje kukuamini ni ishu; hawezi kuwa na ful trust 100. But no worries you find a better way ya kuishi nae
Na kama ni mtoto wa kiume. Anaweza kuwa na wewe makini sana usije kumlawitia mwanae
Hayo mambo yapo
Shida pia ni aina ya huyo mwanamke. Ana uelewa wa maisha.? Otherwise ndio atasema au kwa sababu sio wako
Shida snaa hiyo
Nyumba inaweza kuvurugika
But isikuzuie kuwa na mtu unaempenda
Nilizalisha mwanamke, nikaamua kuwa nae huyo huyo kuzuia hizo ishu
Shida unapo date, date a classy woman, mwenye maadili ha nidham, smart and hard working and cute ili zikitokea zile ambazo hujapanga unatambaa nae huyo huyo tu
Ila ukienda ku date kwa ajili ya nyege na makalio makubwa pwete pwete wa dada wa insta, Ujiandae….. akikuambia ninayo utakimbia tu na utakuwa single father na yeye single mother
Mtaenda kupambana mbele kwa mbele n’a kuleta shida kama ivo