Kuishi na Mtoto wa kufikia ni jukumu zito sana

Kuishi na Mtoto wa kufikia ni jukumu zito sana

Hujapenda. Kuna single mother ni visu na wana akili
Ishu ni kuweka common understanding na yeye awe muelewa kuwa utakuwa una exercise ule ubaba

Hivi utakuzaje mtoto bila kumkemea n’a kumfinya finya

Cha msingi be really na mpende dogo for really maaan huenda hata wako wa kuzaa wasikujali
Single Maza wengi ni pasua kichwa we Jichanganye kwasababu ana Tako kubwa!

Kuna mshikaji wetu alijichanganya Kwa single Maza Sasa hivi anaongea peke yake Barabarani kama chizi!
 
Awapiii labda kama ujapenda ua na boga hakuna ugumu wowote
 
Single Maza wengi ni pasua kichwa we Jichanganye kwasababu ana Tako kubwa!

Kuna mshikaji wetu alijichanganya Kwa single Maza Sasa hivi anaongea peke yake Barabarani kama chizi!
Swali la msingi hapo ni Je, kama walishindwana na huyo Baba mwenzio wewe una nini cha pekee hata na wewe asikuteme?? Kuwa makini -"majuto ni mjukuu huja kinyume"
 
Kuna mshikaji wetu alijichanganya Kwa single Maza Sasa hivi anaongea peke yake Barabarani kama chizi!
Mkuu, tatizo la vijana siku hizi wamekuwa wabishi sana. Vilevile wanajiona wao ni Spesho, Yaani wana amini lililomkuta Baba wa Mtoto haliwezi kumkuta yeye, wanahisi wao ndio mafundi wa kuwatuliza hao wanawake, na hao Wanaume waliowaacha hawana akili.

UKWELI NI, Kijana husiana na single mother at your own Risk, narudia tena AT YOUR OWN RISK. aliposhindwa Mwanaume mwenzako usifikiri wewe utapaweza. Huwa ni swala la muda tu.

Be a Man, Mabinti ambao hawajaolewa wapo kibao mtaani, yafaa nini kuhangaika na mke wa mtu.
 
Single mother ni changamoto mpya katika nyumba za ibada.

Kuna kundi kubwa sana la kina mama waliozaa bila ndoa kanisa na misikiti inapata tabu namna ya kuendana na hali halisi.
 
Ukitanguliza upendo inakuwa na wepesi wala huoni kuelemewa wala kung’ang’ana ktk kuishi nae.

Imeandikwa: “ Upendo husitiri wingi wa makosa”

Ukimpenda mtu kwa penzi la kiMungu hutaona
Mabaya wala madhaifu yake bali utakuwa unaona mazuri yake tu na kuchukuliana nae kirahisi.
Kisa unampenda mtu utaona tabia zake za kipuuzi kama kidekezwa, kukojoa ovyo kitandani ni mazuri ?
 
Hujapenda. Kuna single mother ni visu na wana akili
Ishu ni kuweka common understanding na yeye awe muelewa kuwa utakuwa una exercise ule ubaba

Hivi utakuzaje mtoto bila kumkemea n’a kumfinya finya

Cha msingi be really na mpende dogo for really maaan huenda hata wako wa kuzaa wasikujali
Haijalishi single mother ni kisu au ana akili kiasi gani...

Bado Single Maza ni mke wa mtu.

Kataa Single Maza.
 
Why should one indulge him/her self in Life jargon? Kwa nini usitafute mwenza aliye peke yake ili muanze kuishi pamoja na kuzaa? Hayo maokoto yatatutesa.
Acha delulu.... mtaani kuna single mothers kibao na single father ambao wanahitaji kuwa na familia.
My next door neighbour tu aliku mjane na watoto wawili na ni mtu wa uchumi wa kati. Lakini mwaka jana kaoa tena. Kama ni mtu mwenye akili lazima kaweka misingi kwa wanae na sio kumuachia Mungu na kuendekeza mapenzi. Kifo ni kugusa tu so sio busara kuacha watoto kwenye vita zisizo na msingi
 
Inahitaji moyo Sana kuishi na mtoto wa dume lingine ambalo hata hulijui. Mimi anaishi na mdogo wa mke wangu na mtoto wake. Bila busara unaweza ukajikuta unavuja ndowa na kusababisha mateso kwa wanao pia.
Mke ndio hana akili..... siwezi acha mwanangu aishi na mtu mwingine wakati nipo hai kisa kulinda ndoa.
Baba mpya kazi yako ni kumpenda tu na kumpa ufather figure. Ada na mengine ntamlipia tu mwenyewe bila kinyongo sababu ulimkuta anaishi tayari.
 
Hamna lolote!kikubwa wazazi mkiwa na upendo na mnasikilizana na kuheshimiana mnalea watoto wenu fresh kabisa.....tatizo hao mioyo yao haijaambatana
Kikubwa single parent anaeingia kwa hiyo mahusiano asiwe na entitlement na financial support kutoka kwa mwenza bila kinyongo. Ikija ije kama bonus
Na mtu asilazimishe equal treatment for as long as mwanae hatendewi unyanyasaji wowote sababu si kazi rahisi kumpenda mtoto wa kufikia equally na wa kwako
 
Wala sio suala zito, muhimu ni mama kujielewa na kupata heshima stahiki.

Wapo watu wameishi na baba wa kambo fresh tu, mtoto ana adabu, akikanywa anakanyika, baba wa kambo akichukua nafasi yake, husikii mama yake kusema fyoko,

Shida ni hawa wengine machizi, wanakuja na akili zao za kuokoteza.
 
Kwa hiyo unataka kutreat watoto unequal Kwa Nini?nyie ndio mnaoibuaga tafrani kwenye family.....mpende mwanao wa kumzaa sawa ila kuonyesha ubaguzi sio issues
 
Wala sio suala zito, muhimu ni mama kujielewa na kupata heshima stahiki.

Wapo watu wameishi na baba wa kambo fresh tu, mtoto ana adabu, akikanywa anakanyika, baba wa kambo akichukua nafasi yake, husikii mama yake kusema fyoko,

Shida ni hawa wengine machizi, wanakuja na akili zao za kuokoteza.
Uko sawa kabisa,zamani baba akioa mwanamke mwenye mtoto,huyo mtoto atafuata Sheria zote za baba na alizingua anakula banzi anakaa kwenye mstari,,kwanza ukizingua mama ndio anakusemelea kabisa Kwa baba ...kizazi kipya akili visoda
 
Achen ubinafsi na watoto wa kufikia huwa na baraka kwenye familia kuliko hata mitoto uliyozaa.
Tumeona wamekuwa wakombozi WA familia wengine hd wameweza simamia biashara za familia kuLiko mitoto ya ndani
 
Back
Top Bottom