Kuishi na Mtoto wa kufikia ni jukumu zito sana

Baba hana mke... hata akimchukua mtoto anaenda kukaa boarding since primary.
Plus angekua na nia njema angemchukua mtoto toka zamani alivyohit 7 yrs, why wait mtu amove on na mtu ambaye kakuzidi kila kitu ndo uanze kung'ang'ania mtoto?
Hata ungekua wewe huwezi ruhusu mtoto wako wa kike ambae una mazingira ya kuishi nae akakae na baba ambae hana mke.
Kama Hana mke sawa,na pia mtoto kukaa boarding hapana....basi huyo single mama atulie asimstress Dady
 
Habari zenu,

Nimeona uzi wa Mdau akilalamika kuwa Mtoto wa Single Mother anadekezwa sana na Mama yake na akitaka kuchukua hatua Mama mtu anasema anamnyanyasa mwanaye.

Kiukweli suala la kuishi na mtoto wa mtu ni jambo gumu sana maana unahitaji kuwa Boya na Pretender ili uonekane una mapenzi kwa mtoto, ni watu wachache sana wanaoweza kuishi maisha ya namna hiyo.

Kama umezaa na kuna uwezekano wa Mtoto kuishi mbali basi ni vyema mkafanya hivyo kuliko kuleteana maneno kwenye malezi ya mtoto wa nje.

USHAURI
KAMA HAUNA MTOTO NI VYEMA UKATAFUTA MWENZA ASIE NA MTOTO ILI KUEPUSHA MANENO KWENYE MALEZI.

- Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye
Fact
 
My Best friend tumezinguana kisa ushauri wa kumkataza asidate na single mother kwaajili ya scenario kama hizi. The sad story mwanzoni alikuwa anakuja na kuondoka ila mpaka Sasa ameamisha majeshi kabisa..... Kuna mda nakaa nawaza Kwa sauti, itakuwa ndumba zimehusika.... Desperate times, desperate measures.
 
Kuna msemo wa kihangaza usemeo hivi. Ukiona gogo limemshinda mwanaume mwezako wewe pita pembeni. Masingo maza walishindwa na wanaume walio wazalisha Sasa kinacho mfanya mwanaume ambaye Hana mtoto kufikiri anaweza kumudu mwanamke mwenye nini?
Umeongea point sana, The only reason ambayo Iko valid Kwa single mother ambaye hatakiwi kubaguliwa it's either baba wa mtoto amefariki au alikuwa amebakwa. Period !
 
Habari zenu,

Nimeona uzi wa Mdau akilalamika kuwa Mtoto wa Single Mother anadekezwa sana na Mama yake na akitaka kuchukua hatua Mama mtu anasema anamnyanyasa mwanaye.

Kiukweli suala la kuishi na mtoto wa mtu ni jambo gumu sana maana unahitaji kuwa Boya na Pretender ili uonekane una mapenzi kwa mtoto, ni watu wachache sana wanaoweza kuishi maisha ya namna hiyo.

Kama umezaa na kuna uwezekano wa Mtoto kuishi mbali basi ni vyema mkafanya hivyo kuliko kuleteana maneno kwenye malezi ya mtoto wa nje.

USHAURI
KAMA HAUNA MTOTO NI VYEMA UKATAFUTA MWENZA ASIE NA MTOTO ILI KUEPUSHA MANENO KWENYE MALEZI.

- Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye
Hakika huo uzi wa ndugu yetu umekugusa mpaka umeuanzishia uzi
 
Hasa kakiwa ka kiume,vibishi na vina kiburi hatari.
 
Nahisi ni matoleo ya kula mayai yasiyo na baba,na kuku wasio na wazazi
Mkuu zamani ipi unayoizungumzia Joannah leo nimekuchagua tujadili mimi na wewe hapa jamvini,, Uko available labda? Karibu kwenye hoja dhidi ya hoja mamaa..
 
Inakuwaje dume zima unaoa mwanamke mwenye mtoto

Mbona wanawake wako wengi wa kuolewa hawana watoto

Mwanamume kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujishusha sana thamani
Shida ni selfish na roho mbayaa

Ishi na mtoto wa mtu kama utakavoishi na mwanao……. Nashindwa kuelewa shida ipo wapi ?

Wapo wanawake wanawatoto na ni potentiel kuliko hao wasio zaaa

Yaan waafrica mnashida nyingi
 
Ni mwanaume mpumbavu na mjinga peke yake ndiye anayeweza kulea bao la mwanaume mwenzake

Yaani mwanamke atombwe hadi atiwe mimba halafu msenge mmoja ndiyo aje kulea mtoto wa mwanaume mwenzake

Inahitaji uwe mjinga kufanya upumbavu kama huo
 
Back
Top Bottom