Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Single Maza wengi ni pasua kichwa we Jichanganye kwasababu ana Tako kubwa!Hujapenda. Kuna single mother ni visu na wana akili
Ishu ni kuweka common understanding na yeye awe muelewa kuwa utakuwa una exercise ule ubaba
Hivi utakuzaje mtoto bila kumkemea n’a kumfinya finya
Cha msingi be really na mpende dogo for really maaan huenda hata wako wa kuzaa wasikujali
Swali la msingi hapo ni Je, kama walishindwana na huyo Baba mwenzio wewe una nini cha pekee hata na wewe asikuteme?? Kuwa makini -"majuto ni mjukuu huja kinyume"Single Maza wengi ni pasua kichwa we Jichanganye kwasababu ana Tako kubwa!
Kuna mshikaji wetu alijichanganya Kwa single Maza Sasa hivi anaongea peke yake Barabarani kama chizi!
Mkuu, tatizo la vijana siku hizi wamekuwa wabishi sana. Vilevile wanajiona wao ni Spesho, Yaani wana amini lililomkuta Baba wa Mtoto haliwezi kumkuta yeye, wanahisi wao ndio mafundi wa kuwatuliza hao wanawake, na hao Wanaume waliowaacha hawana akili.Kuna mshikaji wetu alijichanganya Kwa single Maza Sasa hivi anaongea peke yake Barabarani kama chizi!
Kisa unampenda mtu utaona tabia zake za kipuuzi kama kidekezwa, kukojoa ovyo kitandani ni mazuri ?Ukitanguliza upendo inakuwa na wepesi wala huoni kuelemewa wala kung’ang’ana ktk kuishi nae.
Imeandikwa: “ Upendo husitiri wingi wa makosa”
Ukimpenda mtu kwa penzi la kiMungu hutaona
Mabaya wala madhaifu yake bali utakuwa unaona mazuri yake tu na kuchukuliana nae kirahisi.
Haijalishi single mother ni kisu au ana akili kiasi gani...Hujapenda. Kuna single mother ni visu na wana akili
Ishu ni kuweka common understanding na yeye awe muelewa kuwa utakuwa una exercise ule ubaba
Hivi utakuzaje mtoto bila kumkemea n’a kumfinya finya
Cha msingi be really na mpende dogo for really maaan huenda hata wako wa kuzaa wasikujali
Acha delulu.... mtaani kuna single mothers kibao na single father ambao wanahitaji kuwa na familia.Why should one indulge him/her self in Life jargon? Kwa nini usitafute mwenza aliye peke yake ili muanze kuishi pamoja na kuzaa? Hayo maokoto yatatutesa.
Mke ndio hana akili..... siwezi acha mwanangu aishi na mtu mwingine wakati nipo hai kisa kulinda ndoa.Inahitaji moyo Sana kuishi na mtoto wa dume lingine ambalo hata hulijui. Mimi anaishi na mdogo wa mke wangu na mtoto wake. Bila busara unaweza ukajikuta unavuja ndowa na kusababisha mateso kwa wanao pia.
Kikubwa single parent anaeingia kwa hiyo mahusiano asiwe na entitlement na financial support kutoka kwa mwenza bila kinyongo. Ikija ije kama bonusHamna lolote!kikubwa wazazi mkiwa na upendo na mnasikilizana na kuheshimiana mnalea watoto wenu fresh kabisa.....tatizo hao mioyo yao haijaambatana
Kwa hiyo unataka kutreat watoto unequal Kwa Nini?nyie ndio mnaoibuaga tafrani kwenye family.....mpende mwanao wa kumzaa sawa ila kuonyesha ubaguzi sio issuesKikubwa single parent anaeingia kwa hiyo mahusiano asiwe na entitlement na financial support kutoka kwa mwenza bila kinyongo. Ikija ije kama bonus
Na mtu asilazimishe equal treatment for as long as mwanae hatendewi unyanyasaji wowote sababu si kazi rahisi kumpenda mtoto wa kufikia equally na wa kwako
Uko sawa kabisa,zamani baba akioa mwanamke mwenye mtoto,huyo mtoto atafuata Sheria zote za baba na alizingua anakula banzi anakaa kwenye mstari,,kwanza ukizingua mama ndio anakusemelea kabisa Kwa baba ...kizazi kipya akili visodaWala sio suala zito, muhimu ni mama kujielewa na kupata heshima stahiki.
Wapo watu wameishi na baba wa kambo fresh tu, mtoto ana adabu, akikanywa anakanyika, baba wa kambo akichukua nafasi yake, husikii mama yake kusema fyoko,
Shida ni hawa wengine machizi, wanakuja na akili zao za kuokoteza.
Weee aiseeSingle Maza wengi ni pasua kichwa we Jichanganye kwasababu ana Tako kubwa!
Kuna mshikaji wetu alijichanganya Kwa single Maza Sasa hivi anaongea peke yake Barabarani kama chizi!
HahahahaYote haya yana epukika kwa namna moja tu...
KATAA SINGLE MAZA.
SINGLE MAZA NI MKE WA MTU.
SINGLE MAZA NI MTEGO.
Kizazi hiki kina shida kila mahali.Uko sawa kabisa,zamani baba akioa mwanamke mwenye mtoto,huyo mtoto atafuata Sheria zote za baba na alizingua anakula banzi anakaa kwenye mstari,,kwanza ukizingua mama ndio anakusemelea kabisa Kwa baba ...kizazi kipya akili visoda