Pundugu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 212
- 585
Mwanamke akiwa mjamzito usikubali kuwa akili huwa inabadilika hakuna. Mbona maofisini wajawazito kibao na kazi zinakwenda. Mm wa kwangu kuna kipindi alikataa kunifungulia nimetoka kucheki game usiku halafu mbaya zaidi timu yangu ilikuwa imefungwa.
Nilimchimba beat faster akafungua akijifanya kudekadeka nilimwagia ndoo nzima ya maji usoni, mbona alipiga magoti akasema harudi tena dadek.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimchimba beat faster akafungua akijifanya kudekadeka nilimwagia ndoo nzima ya maji usoni, mbona alipiga magoti akasema harudi tena dadek.
Sent using Jamii Forums mobile app