Kuishi na mwanamke mjamzito ni zaidi ya gereza

Huo upuuzi endeleeni kuufanya tu,
Ubabe unaepusha na mengi hata kama atenda lebour leo sina cha kumfanyia shughuli zote zinamsubiri I don’t care hali anayopitia kijeda tu
Una roho mbaya sana sasa huyo mkeo au adui bedui
 
Wakuu habari zetu, mimi ni kijana nimeoa takribani miaka miwili iliopita, nashukuru Mungu mwaka huu kajifungua salama.sasa kimbembe nilichokutana nacho alipokuwa mjamzito siji kusahau kuna siku nilitoka kazini nafika tu home namkuta anaanda msosi ile namsalimia tu za kushinda mwenzangu kakausha nikaongea mara ya pili kimya basi nikaondoka nikaenda kujipumzisha. Alipomaliza kupika akala naye kaja kulala hata kuniita msosi tayari hakuna.

Nikaamka nikaenda kula nikarudi kulala kimya kimya kesho yake asubuhi wakati najiandaa kwenda job akasema usiporudi na matunda utahama nyumba hii daa nilipandwa na hasira sikimjibu jioni niliporudi nikamnunulia alivyoagiza nikamletea muda mwingine anatumia amri nikampikie alikuwa mkali acha tu.

Lakini sasa hivi toka ajifungue kawa mpole kama sio yule na mimi nilimwekea tu akijifungua akija kunizingua hasira nimvuluga kweli.

Kama kuna yoyote aliyewahi kukumbwa na kashia kama hii asimulie
Hapo mzee baba hujapata mtoto wa kiume? Maana nauzoefu sana kwa wanawake wanaobeba mimba za mtoto wa kiume
 
doh nna jamaa yangu hapa aliamshwa saa 9 usiku ,mkewe anataka karanga za kutafuna. . alikuja kunigongea kulala kwangu asee.
#kesho mke kugomba akamwambia ukileta visa vya aina hiyo nakupeleka kwetu ukajifungulie huko. mke akatulia na mpka kujifungua bila longolongo tena .huwa wanafanya makusudi tu.
 
Mi sitasahau siku hiyo amenipigia cm analia afu haongei kitu nikajua kuna tatizo ikibidi niache nilichokuwa nafanya niwahi nyumbani.kwenda namkuta kanuna hata kuongea na mimi hataki.namuuliza umeniitia nini ananiambia sijakuita.nikakumbuka ni kweli hajaniita bali alikuwa analia tu ikabidi niwe mpole maana hasira ilinishika kidogo tu nimshone

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]

Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zetu, mimi ni kijana nimeoa takribani miaka miwili iliopita, nashukuru Mungu mwaka huu kajifungua salama.sasa kimbembe nilichokutana nacho alipokuwa mjamzito siji kusahau kuna siku nilitoka kazini nafika tu home namkuta anaanda msosi ile namsalimia tu za kushinda mwenzangu kakausha nikaongea mara ya pili kimya basi nikaondoka nikaenda kujipumzisha. Alipomaliza kupika akala naye kaja kulala hata kuniita msosi tayari hakuna.

Nikaamka nikaenda kula nikarudi kulala kimya kimya kesho yake asubuhi wakati najiandaa kwenda job akasema usiporudi na matunda utahama nyumba hii daa nilipandwa na hasira sikimjibu jioni niliporudi nikamnunulia alivyoagiza nikamletea muda mwingine anatumia amri nikampikie alikuwa mkali acha tu.

Lakini sasa hivi toka ajifungue kawa mpole kama sio yule na mimi nilimwekea tu akijifungua akija kunizingua hasira nimvuluga kweli.

Kama kuna yoyote aliyewahi kukumbwa na kashia kama hii asimulie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom