Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa.
Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha!
- Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'.
- Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi ni "uasherati"
- Ukiwa hujao na mwenzako hajaolewa ni "uzinzi"
Huyu kijana wa Magomeni kota alikuwa anaishi na mzinzi mwenzake na si mke, kama anataka kuwa na mke wakafunge ndioa bomani, kwa Shekhe, Kwa Mchungaji au padre na wakitaka kabis kuondoa gharama wafunge kimila huko uzaramoni ila "waisajili RITA"
Vijana wengi hasa wa kislamu na walio kataa shule, wanafikiri kuishi na mwanamke miaka kenda ndio kunafanya kuwa mke.
Ukweli ni kwamba , kuishi na mwanamke , hata mzae watoto 10 na kuishi miaka 30 , huyo ni mzinzi mwenzio na mmezaa watoto wa Zinaa.
Mwanamke wako akigongwa na rafki yako ama jirani huna pa kushitaki maana si wako , ni wazinzi mlio kubaliana!
Huyu kijana anayelia lia hapa , hana mamlaka na huyo aliyekuwa mzinzi mwenzi ambaye sasa ameolewa rasmi.