Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
- Thread starter
- #41
Malizia sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia sasa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimeshindwa kuelewa kbs
Badilisha namna ya uandishi ili siku nyingine ueleweke na upate msaada. Halaf haina haja ya kuboldkuna mdogo wangu anamchumba wake ambae process zote za kuoana tayar japo jamaa kaomba hajajipanga kufunga ndoa sasa hv uchumi haujakaa sawa anaomba amchukue kwanza ndoa baadae
bint amepanga kwake mkoa tofauti na jamaa
Sasa jamaa kamuomba akae na mtoto wa Dada
Bint kamaliza form 4 mwaka huu. hataki kurudi kijijin hivyo akae kwa bint siku ya kuolewa ikifika wataenda pamoja kw a jamaa maana jamaa hawez kukaa na ndugu yake kwa sasa anataka kuchukua likizo hivyo akae kwa bidada mpaka akitaka kuolewa ndio atamchukua
Bint anasema kukaa nae sio shida Ila tabia zake ndio shid
Alishawahi kukaa nae anavitabia flan vinakera hana heshima wala uoga anaweza maliza kuoga akachukua nguo yako akavaa bila kuomba yaan anavitabia tu vya ajabu ajabu ukimgombeza kidogo anaanza kulia,,, alishakaa nae mwez 1 alihisi kuumwa sasa hv anataka aje akae mda wote mpaka atakapo pata maisha yake,,,,,
anashindwa amjibuje mchumba wake anaogopa kukataa ataonekana hapend ndugu bado mapema na akikubal anahisi changamoto kubwa bora angekua anakuja kusalimia tu kuliko kuishi nae siku zote
anaomba ushaur afanyeje au amjibu mini jamaa?
Ipo hivi (najaribu): Chalii una mchumba. Mdogo wako wa kike alomaliza form 4 unataka akakae kwa huyo mchumba maana dogo hataki kurudi kwao. Mdogo wako ni pasua kichwa na hata adabu hana. Mchumba hayupo tayari kwa hilo. Akwambie vipi uelewe bila kuwa na tafsiri kuwa hapendi ndugu zako?
GoooooooooooooooodHayo ni mapungufu yake tu na nzuri zaidi anaijua vyema tabia ya huyo ndugu wa bwana yake. Yeye akubali kuishi naye tu, Ila matatzo yake yakizidi maji amweleza ndugu yake ili akanywe. Afikiria kama angekuwa mdogo wake yeye na ana hizo tabia au ndugu upande wao angemfukuza.
Mkuu naona umeelewa..Hembu summarize hiyo kitu, nimeisoma mara tatu sijapata kituBora nusu shari kuliko shari kamili, mshauri akatae tu kuish nae huyo binti!