Kuishi na ndugu wa mume

Kuishi na ndugu wa mume

Mwambie asikubal ndo kubembeleza ndoa ama dogo arud kwao kijijn kwa nn awakoseshe watu aman tatzo watu hamuw wawaz kwan amekuoa mpaka uanze kuletewa watu
 
kuna mdogo wangu anamchumba wake ambae process zote za kuoana tayar japo jamaa kaomba hajajipanga kufunga ndoa sasa hv uchumi haujakaa sawa anaomba amchukue kwanza ndoa baadae

bint amepanga kwake mkoa tofauti na jamaa
Sasa jamaa kamuomba akae na mtoto wa Dada
Bint kamaliza form 4 mwaka huu. hataki kurudi kijijin hivyo akae kwa bint siku ya kuolewa ikifika wataenda pamoja kw a jamaa maana jamaa hawez kukaa na ndugu yake kwa sasa anataka kuchukua likizo hivyo akae kwa bidada mpaka akitaka kuolewa ndio atamchukua


Bint anasema kukaa nae sio shida Ila tabia zake ndio shid

Alishawahi kukaa nae anavitabia flan vinakera hana heshima wala uoga anaweza maliza kuoga akachukua nguo yako akavaa bila kuomba yaan anavitabia tu vya ajabu ajabu ukimgombeza kidogo anaanza kulia,,, alishakaa nae mwez 1 alihisi kuumwa sasa hv anataka aje akae mda wote mpaka atakapo pata maisha yake,,,,,

anashindwa amjibuje mchumba wake anaogopa kukataa ataonekana hapend ndugu bado mapema na akikubal anahisi changamoto kubwa bora angekua anakuja kusalimia tu kuliko kuishi nae siku zote
anaomba ushaur afanyeje au amjibu mini jamaa?
Badilisha namna ya uandishi ili siku nyingine ueleweke na upate msaada. Halaf haina haja ya kubold
 
Ipo hivi (najaribu): Chalii una mchumba. Mdogo wako wa kike alomaliza form 4 unataka akakae kwa huyo mchumba maana dogo hataki kurudi kwao. Mdogo wako ni pasua kichwa na hata adabu hana. Mchumba hayupo tayari kwa hilo. Akwambie vipi uelewe bila kuwa na tafsiri kuwa hapendi ndugu zako?

Mimi ntalipia gharama zote naomba umfundishe mleta uzi namna ya kuandika maana baada ya kufikiria cha kumshauri tunaanza kufikiria kwanza sentesi ipi ianze, ipi ije kati na ipi iwe mwishoni ili upate maana, binafsi nimemuelewa lakini baada ya kurudia kama mara tatu hivi!!!!
 
Mtakwazana, mtakerana, mtavurugana wakati hata hiyo ndoa haijaonjwa. Aende kwao or akakae na ndugu yake, ye kamshindwa we ndo utakuweza?
Afu huyo mwanaume kama vile kaanza u-ganda la ndizi mapema sana kuna Mme kweli hapo????
 
nimejaribu kukuelewa japo taabu.....masauala na uchumba wa kushikiana sio sahihi kabisa......kama wanapendana,,,,weshatambulishana.......mahari ishatolewa.......mwambie binti akomae waanze maisha.....habari ya ndugu za mchumbake tupa kule........kwa mbali naona hamna ndoa hapo ni ulaghai kamilifu.....mfikishie huu ujumbe haswa kama si wewe.
 
Kuna mambo mengine huwa hayahitaji ushauri zaidi ya utashi na akili ya kawaida.
Kwamfano mimi binafsi, siwezi kuruhusu hata mdogo wangu wa damu moja akuje kukaa kwangu hadi apate maisha, pengine ninaweza nikamsaidia huko alipo ili apate maisha na sio kuja kukaa nyumbani kwangu.
 
Nimepata tabu kuielewa ila nimerudia rudia mpaka nimeelewa.

Unajua kuna mambo mengine sisi wenyewe wanaume ndio huwa tunakosea halafu tunaanza kuwaona wenza wetu wabaya. Nduguyo kuja kuishi kwako sio Tatizo, ila tatizo litakuja pale usipompa miiko na taratibu za nyumbani kwako ambapo atataka nduguyo atawale pale ndani kama Mume. Cha msingi ni kumwambia tu huyo binti arudi kwa mama yake akaishi huko na si kutaka kuharibia watu Faragha zao.
 
Hayo ni mapungufu yake tu na nzuri zaidi anaijua vyema tabia ya huyo ndugu wa bwana yake. Yeye akubali kuishi naye tu, Ila matatzo yake yakizidi maji amweleza ndugu yake ili akanywe. Afikiria kama angekuwa mdogo wake yeye na ana hizo tabia au ndugu upande wao angemfukuza.
Gooooooooooooooood
 
Sijaelewa main body ila mambo ya kuganda ndugu maisha hayo badilikeni.
 
Back
Top Bottom