Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena mpaka tunawasomeshaWadada mna mentality mbaya sana khs ndugu wa mume, mbona sie tunakaa na ndg zenu hatuna noma wala nini
Asipoangalia hata ndoa yenyewe ataikosa, maana atamwambia mama yake anateswaMapema yote hiyo hata ndoa bado
Pole sana rafikikuna mdogo wangu anamchumba wake ambae process zote za kuoana tayar japo jamaa kaomba hajajipanga kufunga ndoa sasa hv uchumi haujakaa sawa anaomba amchukue kwanza ndoa baadae
bint amepanga kwake mkoa tofauti na jamaa sasa jamaa kamuomba akae na mtoto wa dada binti kamaliza form 4 mwaka huu. hataki kurudi kijijin hivyo akae kwa bint siku ya kuolewa ikifika wataenda pamoja kw a jamaa maana jamaa hawez kukaa na ndugu yake kwa sasa anataka kuchukua likizo hivyo akae kwa bidada mpaka akitaka kuolewa ndio atamchukua binti anasema kukaa nae sio shida Ila tabia zake ndio shida
Alishawahi kukaa nae anavitabia flan vinakera hana heshima wala uoga anaweza maliza kuoga akachukua nguo yako akavaa bila kuomba yaan anavitabia tu vya ajabu ajabu ukimgombeza kidogo anaanza kulia, alishakaa nae mwez 1 alihisi kuumwa sasa hv anataka aje akae mda wote mpaka atakapo pata maisha yake,
anashindwa amjibuje mchumba wake anaogopa kukataa ataonekana hapend ndugu bado mapema na akikubal anahisi changamoto kubwa bora angekua anakuja kusalimia tu kuliko kuishi nae siku zote
anaomba ushaur afanyeje au amjibu mini jamaa?
Asipoangalia hata ndoa yenyewe ataikosa, maana atamwambia mama yake anateswa
na mchumba wa uncle, dada mtu atavuruga uchumba amwambie tu hapana
dah inachanganya hii kiasi...sina hakika kama nimeelewa inavotakiwa labda nirudie maara mbili au tatu
Umenimix asee hata sijaelewa nimepata wenge sana sana