Kuitwa Ikulu ni ishara kubwa kuwa Yanga SC imetuletea heshima Tanzania

Kuitwa Ikulu ni ishara kubwa kuwa Yanga SC imetuletea heshima Tanzania

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Sio rahisi ofisi aya rahisi ikaandaa mualiko maalamu pasi na kuwa na sababu ya msingi. Ni dhahiri mafanikio ya Klabu ya Yanga SC katika michuano ya CAFCC yanatambulika kama mafanikio makubwa zaidi katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.

Kwa kulitambua hilo, serikali imeona ni vyema kuialika Timu hiyo ambayo imeitangaza vyema Tanzaniaa kwakipindi kifupi mno, tena kuliko wale wanao ishia hatua ya robo fainali wakiwa na maandishi ya VisitTanzania.

Taarifa kutoka Wizara ya Utalii zina sema kuwa baada ya mechi ya mwisho ya fainal ya Yanga SC kumekuwa na ongezeko kubwa sana la bookings za watalii kutoka mataifa ya Kaskazini amwa afrika wakihitaji kutembelea vivutio vya Tanzania, bila shaka hii ni kwa sababu ya Yanga SC.

Uwezi kuitwa Ikulu kirahisi rahisi tu, yaani bila sababu ya msingi.

Hivi sasa YANGA SC imeset bar kiasi kwamba kufika robo au nusu sio mafanikio tena, bali kufika fainal ya michuano ya CAF.
 
1900fc73-440f-4c99-9f3c-d7b53724b4ad.jpg
 
Yanga wazee wa kukuza mambo..
Cpati picha hilo PARADE kama wangekuwa mabingwa..Ali kamwe na wenzake
 
Back
Top Bottom