Kuitwa Ikulu ni ishara kubwa kuwa Yanga SC imetuletea heshima Tanzania

Kuitwa Ikulu ni ishara kubwa kuwa Yanga SC imetuletea heshima Tanzania

robo final ya Simba paliwabeba mkawa mnashirki Champions muwe na shukrani hata kidogo.
Robo fainali sio mafanikio yanayoweza kutambulika kisheria.

Kwanini wameitwa walio shiriki fainali na walio ishia robo wakapotezewa?
 
Robo fainali sio mafanikio yanayoweza kutambulika kisheria.

Kwanini wameitwa walio shiriki fainali na walio ishia robo wakapotezewa?
kuitwa Ikulu sio ajabu hata vichaa kina Stiv Nyerere huwa wanaitwa.kwaio sio jambo la maana sana.
Simba na Yanga akuna aliyebeba taji la CAF.
 
Ikulu ya Tanzania ni gundu kaka,Ivory Cost ya kina Drogba iko wapi?.

mpaka sasa Ivory Cost aipo tena kwenye ramani ya soka la Africa waliitwa Ikulu ya bongo wakaenda kubeba gundu.
EGYPT baada ya kubeba AFCON mwaka 2006, wakaalikwa dinner na Rais wao Sufi Abou Taleb wa wakat huo.

Miaka 2 baadae wakabeba AFCON - 2008

Miaka 2 baadae wakabeba tena AFCON - 2010

Kuna gundu lipi lingine unalo maanisha...?
 
Iyo ni Egypt kaka sio bongo.
 
Yanga ametangaza vivutio kivipi. ? Labda ungesema manunuzi ya bidhaa za haier zimeongezeka.
 
Back
Top Bottom