kuitwa usaili TRA

kuitwa usaili TRA

Huo ni mtazamo hasi kabisa, mi ajabu unatak kutwambia kwamba mtu anayejua vitu ni yule mwenye GPA ya 3.5! hii ni ajabu mno.Nakumbuka mzee Nimrod Mkono pamoja na kuwa Advoket anayeheshimika kwa umahili wake aliwahi kuwaambia applikants wa kazi ktk firm yake kwama yeye haangalii GPA kwani hata yeye ana lower second.Lakini hata Jaji mkuu mstaafu Ramadhan aliwahi kuwaeleza wanafunzi aliokuwa anawafundisha pale chuo kikuu cha Zanzibar juu ya yeye kuwa na lower second class.Wanasheria wengi, madaktari na mainjinia hupata lower second kutokana na masomo haya kuwa magumu kidogo, lakini hii haiwazuii kufanya vizuri ktk kazi.Hii inanikumbusha upuuzi uliofanyika pale Udom eti wakati wanashortlist ktk baadhi ya posts walikinzana sana lilipokuja suala la nani apite kati yule wa Mlimani mwenye lower second na wa Makumira mwenye upper second.Hoja ikatoka ktk paneli hiyo ati mtu akasema heri ya C ya mlimani kuliko A ya vyuo vingine.nAKUBALI KWAMBA GPA ina msingi sana kuiangalia sana kwa malengo ya kupunguza watu kama ulivyosema kwamba mlifanya, ila hoja ya kwamba pasipo Upper second haajiriki, hiyo ni hoja hewa.Hata hivyo wapo wanaojua maksi wanazipataje.We fikiria ktk darasa langu la  Tax lenye wanafunzi 180 ktk chuo nilichokuwa nasoma demu mmoja tu aliyekuwa anatoka na mwalimu ndiye pekee aliyepata A ya Tax Law, na mabinti wawili marafiki za yule demu ndo walipata B+ wengine tukaangukia B, C, na supplementary za kumwaga. 
 
Jamani, tuwe wakweli! GPA inaonyesha ni kiasi gani mtu alikuwa committed kwenye masomo yake so atakuwa committed vile vile kazini. Madaraja haya ya ufaulu ni muhimu ili kumtofautsha mtu mmoja na mwingine.

Kuna fani ambazo lower second zake zinamata, kama sheria na uinjinia, lakini uhasibu na kodi hainiingii hakilini kabisa! na ndo mana kwenye matangazo ya kufundisha vyuo wanataka GPA kubwa tu, mana wao wanaamini mwenye GPA kubwa anajua. kwa ulecturer wa masomo mengine wanasema at least a GPA of 3.8 at undergraduate and GPA of 4 at masters. ila kwa sheria uwa wanasema 3.5 will be considered.
Turudi kwenye auditing firms, wanataka atleast upper second na mtu awe amepass hesabu na kiingereza kwenye form 4.

Na unaona firm zinazochukua vichwa zinavyoperform. zamani vilaza walikuwa wanakimbilia serikalini, sasa hivi hakuingiliki tena.

kama mtu anaona chuo alionewa na ana board ya professional basi afanye mitihani ya board yake tuone anatoka tokaje? awe advocate au CPA.
na ukweli ni kuwa vyuo vyote ni vigumu kutoa GPA, tukipokea maombi 50 ya CBE upper utakuta 8, tukipokea 70 ya IFM utakuta upper 11 nk. msijidanganye kila mtu anaposoma ndo pagumu kwake!

Ukweli unauma siku zote, lakini habari ndo hiyo!
 
Huo ni mtazamo hasi kabisa, ni ajabu unataka kutwambia kwamba mtu anayejua vitu ni yule mwenye GPA ya 3.5! hii ni ajabu mno.Nakumbuka mzee Nimrod Mkono pamoja na kuwa Advoket anayeheshimika kwa umahili wake aliwahi kuwaambia applikants wa kazi ktk firm yake kwama yeye haangalii GPA kwani hata yeye ana lower second.Lakini hata Jaji mkuu mstaafu Ramadhan aliwahi kuwaeleza wanafunzi aliokuwa anawafundisha pale chuo kikuu cha Zanzibar juu ya yeye kuwa na lower second class.Wanasheria wengi, madaktari na mainjinia hupata lower second kutokana na masomo haya kuwa magumu kidogo, lakini hii haiwazuii kufanya vizuri ktk kazi.Hii inanikumbusha upuuzi uliofanyika pale Udom eti wakati wanashortlist ktk baadhi ya posts walikinzana sana lilipokuja suala la nani apite kati yule wa Mlimani mwenye lower second na wa Makumira mwenye upper second.Hoja ikatoka ktk paneli hiyo ati mtu akasema heri ya C ya mlimani kuliko A ya vyuo vingine.nAKUBALI KWAMBA GPA ina msingi sana kuiangalia sana kwa malengo ya kupunguza watu kama ulivyosema kwamba mlifanya, ila hoja ya kwamba pasipo Upper second haajiriki, hiyo ni hoja hewa.Hata hivyo wapo wanaojua maksi wanazipataje.We fikiria ktk darasa langu la Tax lenye wanafunzi 180 ktk chuo nilichokuwa nasoma demu mmoja tu aliyekuwa anatoka na mwalimu ndiye pekee aliyepata A ya Tax Law, na mabinti wawili marafiki za yule demu ndo walipata B+ wengine tukaangukia B, C, na supplementary za kumwaga.

jamani tuangalie kwa undani GPA inamata sana hasa kwa fresh from school hasa kwa waajiri maana unakuwa experience anarelate na GPA lakini baada ya hapo si GPA tena ila performance watu kama mkono huwezi kumuuliza GPA ataangalia CV TU.suala la GPA hasa kwa udsm linawapa wakati mgumu kwenye selection zinazobase kwenye GPA
 
jaman wana jf nimetembelea TRA headoffice majibu niliyopewa ni haya, hawatangazi majina ya walioitwa kwenye usaili kwenye media, ila mpaka sasa bado wanaendelea kupiga simu, kutuma barua na email.. Hvyo endeleeni kutembelea hvyo vyanzo mpaka angalau jumamosi. Pia wameniambia interview ni tar 21. Ila kilichonisikitisha pamoja na kufika ofisin kwao sikuweza kuona shortlist hata kwenye matangazo ya ndani, wakadai niendelee kusubiri simu na kuangalia kwenye email au box.
 
Jii Pii Ei sio kigezo cha kupata wafanyakazi bora.Zina walakini jinsi ya kupatikana kwake.Muhimu ni kuelewa unachotakiwa kukifanya...
 
Mi ninachoshauri, waambieni wadogo zenu wasome sana ili wasiwe kama wahasibu niliowaona last week ofisini kwetu. Nakubari kuwa waliosoma uhasibu ni wengi lakini wanaoujua ni wachache! kwa hiyo msiogope tu wingi, wengine ni kama wamesoma hakuna!

Mi nafanya kazi na international org hapa tz, tangu mwezi jana tulikuwa tunaitaji wahasibu wawili, hatukutangaza gazetini, ila tulitangaza ndani humo. tulipokea application zaidi ya 400. tukaamua kuchuja, tukatafuta wenye GPA above 3.5 ili kuwapunguza, huwezi amini tulibaki na less than 30 application! Tukaongeza kigezo cha mtu awe angalau na full Module E, tulibaki na sita tu!

Kwa hiyo jamani msilahumu sana, kwanza GPA zinawaruhusu au mnairahumu tu serikali? eti mtu ana 3.0, naye anataka aitwe NAO! si utani huu! ni huu jamani.

kama hukuitwa uache visingizio, mara umangi sina mara nini, jipeleleze kwanza wewe mwenyewe kama unastahil. Mi ninachojua Huingii TRA kama huna angalau upperr!

Kujua uhasibu ni juhudi za mtu binafsi kujifunza kwa vitendo kwa bidii zaidi (practical training), Kwa taarifa yako unaweza ukasoma mpaka CPA still ukawa mbovu kwenye kazi ya uhasibu kama hautakuwa na juhudi binafsi kujifunza practically mifano iko mingi tu. Pia si kweli kwamba walioajiriwa TRA wana upper second class kuna watu wana CV za ajabu lakini wanapiga mzigo acha braa braa zako.Kwa elimu ya kibongo unaweza kukuta mtu ana Upper second Class lakini ni mzuri sana kuliko mwenye First Class.Usiongee bila kufanya research ndugu yangu.
 
kuna mijitu kibao tupo nao ofisini wana GPA kali tena hadi girst class kuliko mm mwenye lower second lakini cha ajabu kazi hawajui na tumeanza nao kazi pamoja,wakipewa kazi lazima wakuulizeulize uwasaidie,hivyo bro,GPA usiwe na mawazo kama leyman kwamba mwenye GPA kubwa ndo anajua mambo,waite wote,waintavyuu ndo utashangaa mjomba
 
Mi ninachoshauri, waambieni wadogo zenu wasome sana ili wasiwe kama wahasibu niliowaona last week ofisini kwetu. Nakubari kuwa waliosoma uhasibu ni wengi lakini wanaoujua ni wachache! kwa hiyo msiogope tu wingi, wengine ni kama wamesoma hakuna!

Mi nafanya kazi na international org hapa tz, tangu mwezi jana tulikuwa tunaitaji wahasibu wawili, hatukutangaza gazetini, ila tulitangaza ndani humo. tulipokea application zaidi ya 400. tukaamua kuchuja, tukatafuta wenye GPA above 3.5 ili kuwapunguza, huwezi amini tulibaki na less than 30 application! Tukaongeza kigezo cha mtu awe angalau na full Module E, tulibaki na sita tu!

Kwa hiyo jamani msilahumu sana, kwanza GPA zinawaruhusu au mnairahumu tu serikali? eti mtu ana 3.0, naye anataka aitwe NAO! si utani huu! ni huu jamani.

kama hukuitwa uache visingizio, mara umangi sina mara nini, jipeleleze kwanza wewe mwenyewe kama unastahil. Mi ninachojua Huingii TRA kama huna angalau upperr!

Shomile mpaka ...........
 
Shomile mpaka ...........

wanadamu bwana? hawapendagi ukweli, na ukisema ukweli watakuchukia tu na kukuona mbaya. wanaona bora wajifariji hata kama wao tu ndo wanaofurahia faraja hiyo na wengine hawawaelewi!

Ndo mana hata nabii Issa (Jesus) aliuwawa. waliona anawaukumu.

soko la ajira limekuwa gumu, competition imeongezeka sasa waajiri watawachuja kwa kutumia nini jamani? mioyoni mwenu mnakubali lakini kuongea na kutafuta jinsi ya kujiokoa ndo mnaona kugumu.

Sasa ukija kuomba kazi la lower au pass sisi ofisini tutajuaje kama unajua wakati cheti chako hakitushawishi? tumuache mwenye 3.9 tukuchukue mwenye 3.0, kweli? hata wewe ungekuwa unachambua barua za kazi ungefanya hivyo?
haya endeleeni tu! mi nawaambia tena, waambie wadogo zenu waanze kupiga one tangu form one, hadi chuo wapige 1st ikibidi uone kama watakaa mtaani kiivyo. inabidi uonyeshe tofauti.
 
Nani kawaambieni tz hakuna ukabila?ukabila upo na suala la kupendeleana lipo.Mtu bora anaachwa jitu la ovyo linachukuliwa,kisa kabila moja au ukoo mmoja.Angalieni,tusiigeuze tz kama Rwanda ya1994.Na huo nauita ujinga na upumbavu wa hali ya juu.
 
List iko TRA makao makuu reception imetundikwa kama ukitaka kujua sogea mitaa ileeeee
 
Thankx for the reminder kaka, niliziomba hizo na mimi ila still sijapata phone call yoyote,
 
Msomi mzuri ni yule mwenye uwezo wa kudeliver izo GPA sio issue sana.
Ila kupata kazi TRA nako kuna kujuana sana pale.
Jipeni moyo mwaweza pata
 
Hivi mnajua kuna kundi la watu linaitwa Average students,hawa ndio haoa wa lower 2nd na few of upper...ndio wanasifika kwa team work na efficiecy makazini.....fanya tathmini ulipo ww 4 prove.
 
kuna mmoja kapigiwa leo intervie J4 tax priventive na mwingine receptionist, ,,,,,,,,,,,,,,,,,, msikate tamaa bado wanaendelea kuita kama uliomba endelea kusubiria.
 
Ni hakika, kigezo cha kwanza kinachofuatwa ni performance. Aliyefaulu kuliko mwingine ndo anapewa first priority! Tusiwe wabishi kwenye hili.
 
Wasije wakakomea usaili tu. Niliitwa usaili NIDA tangu Aprili, 2010...hadi leo sijasikia yeyote kaitwa! Sometimes mambo haya yanaboa kwelikweli. Msikate tamaa lakini.
 
Back
Top Bottom