pebo da great
Member
- Nov 17, 2011
- 20
- 1
jamani huko tra km ni vigezo vya gpa me mbona nina upper second yangu nzuri tu tena from a reputable institution wangesema na gender inaangaliwa ilibidi niitwe lakini wapi naona kimya kingi tena ni one from o level yani tz kujuana kwingi najuta kuwa mtoto wa mkulima, isitoshe ni mwaka nasota na upper second yangu niambieni wadau ni apply wapi?