kuitwa usaili TRA

kuitwa usaili TRA

jamani huko tra km ni vigezo vya gpa me mbona nina upper second yangu nzuri tu tena from a reputable institution wangesema na gender inaangaliwa ilibidi niitwe lakini wapi naona kimya kingi tena ni one from o level yani tz kujuana kwingi najuta kuwa mtoto wa mkulima, isitoshe ni mwaka nasota na upper second yangu niambieni wadau ni apply wapi?
 
Hawajaita tra hao jamaa wanabwabwaja tu usihofu wakiita ukweli utajua jst be patient
 
Mimi niliomba nafasi ya Preventive Assistant TRA na sijapigiwa simu wala barua kutumiwa bado.Je inawezekana miongoni mwa walioitwa ndo hao mapreventive assistants nini!.Tujulishane jamani manake taarifa hizi hazimo hata ktk mtandao wa TRA hazipo.Sijui kwa nini ni mambo ya siri siri.

ndio kuna hao prentive assistants wameitwa pia, kuna jamaa yangu alikuja na barua yake ya kuitwa kwenye interview alitatafuta info/job description za prentivive assistant katika internet
 
wizi wa nini wakati wao wameita na mm natoa taarifa kwa wadau...ingekuwa ya kuwekwa ningewaambia kweli?? au..

ungesema kweli kaka? nimesikia applicants walikuwa 37,000 na vimemo usiseme...ilibidi zoezi liahirishwe na hawa waliopita ni juhudi za external agency ndio imefanya recruitment, na kama kuna wa vimemo basi ni wachache sana labda wale mapapa but most of them are guinune.
 
Back
Top Bottom