Kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa udongo bado haitoshi, kuna la kufanya zaidi

Kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa udongo bado haitoshi, kuna la kufanya zaidi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Ili kuwakatisha tamaa wale viherehere waisoutakia mema muungano wetu ipo haja ya dhati na thabiti ya kuona ni jinsi gani tutafanya ili muungano huu,tuupigilie msumari wa mwisho ili nia na akili za wale wachache wasioutakia mema muungano,nia zao za hovyo zisiweze kufikirika kwa namna yoyote ile!,

°Aidha bara kipande cha eneo kisomeke ni zanzibar.

°Na zanzibar kisiwa cha pemba kisomeke bara

°Muunganiko wa kuchanganya mchanga na baadhi ya taasisi za kiusalama bado hautoshi kutengeneza (firmly and strong component) ya kushindana na mwamko na uelewa kwa nyakati hizi, wahuni watauvunja tu huko baadae na kusababisha hasara kubwa kwa kila upande,ni budi kupigilia msumari makini wa mwisho ili kuondosha fikra za aina hiyo!..

Tuwe tu wakweli unguja na pemba ziliachwa nyuma kupita kiasi,tuwe wakweli haswa,kwa dhati,
Rais mpendwa ducturi SSH, Ona namna ya kuuimarisha yaani kuufunga kabisa muungano huu na funguo yake uitupe katika kina cha bahari.

YANGU NI HAYO KWA LEO!

Mzee wa poroja mingi.
 
Back
Top Bottom