kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

Katiba inayopendekezwa ndio mpango mzima kwa mwaka 2015,jitokeze kujiandikisha na hatimaye kupiga kura ya ndio
 
Jitokeze kujiandikisha na kushiriki kikamilifu kupiga kura ya ndio kwa katiba inayopendekezwa,katiba inayopendekezwa ndio mpango mzima 2015
 
tehteh...Dragunov Sniper=RAPTOR 22..
nilisema tangu mwanzo,hizi ID ZA MTU MMOJA...sasa ona unaandika thread,alafu unakuwa wa kwanza kujireply,tehteh..kibaya zaidi eti unajipa like kwa ID nyingine,hahaha..na mods wamekuumbua wakaunganisha ID zako..teheteh..

 


Maelezo hapo juu yanajitosheleza (100 posts per day = 5 posts per hour)...Sina zaidi la kuongezea kwani kufanya hivyo ni sawa na kukimbizana na mpangaji wa Mirembe, people might fail to notice the difference ...!

huyo kijana ndiyo huyu RAPTOR 22.Ana ID zaidi ya moja,tehteh..anatoa thread kwasababu ya ukilaza akajisahau na kujijibu na ID ile ile..Tazama post yake ya kwanza na ya pili...

na ukitaka kujua ni mtu mmoja hawa RAPTOR 22 na Dragunov Sniper tazama post #18 ...
walichofanya ni kuziunganisha..
 
Wachumia matumbo walotumwa na Ukawa utawajua tu humu ndani, wewe unAejiita tyta nimeskia nawe una ID za Tyta, Tetty, BAK, Mwalla4real na nyingine ambazo wamezibann ukaamua kufungua nyingine mwezi huu huu, acha porojo zako, endelea kula jero jero za Ukawa tu maana bila Ukawa choo huend hapo kwenu.
 
Ndugu zangu wadanganyika,mbona bado mnaijadili katiba pendekezwa?wakati serikali imeshasema IMEBUMA,na kufunga mjadala,ninani huyu kajituma kuanzisha upya?wakati wenzie kina PINDA,KIKWETE,NAPE,CHIKAWE pamoja na wengine wameshaacha kuimba hicho kibwagizo?mwee !mleta mada umelogwa na nani tena mbona asubuhi ulikuwa mzima?waulize ZNZ kama wimbo huo bado upo.
 
Wewe mdudu umetokeomwapi, maana wadudu daima hawanaga akili hivyo ckushangai kwa unachokiongea hapo juu. Katiba ipo na itakuwepo, we subiri ifike muda wa kupiga kura tena ukapige ya Ndiyo ukipiga ya Hapana basi wewe ni mchumia tumbo.
 
Yaani wewe huna la maana isipokuwa katiba pendekezwa? Mbona wengi walishatowa kibali kwa nyie kufanya mtakavyo kwa huo upuuzi wenu? Au ni wasiwasi kuwa mnachokifanya hakina maana kwa wengi?
Mlivyobahatika basi ni kuwa hata iwapo ni wewe na Sitta tu mtaipigia ndiyo itapita kwani ni katiba ya wachache.
 
Naona kijana unachanganya frequencies humu ndani, kama hauna jipya nakushauri utulie ama ulale tu, matuc huko huko kwenu, hapa ni nondo za ukweli tuu, ukiweka matuc watu wanajua umeishiwa hoja na unahitaji kumpumzika.
 


Mbona unakalia kulumbana na mtu na sio hoja inakuaje hapa?hii ni kuonyesha udhaifu wako tetea hoja iliyoko mezani dont attack personalities!!!
 

Aisee heshima yako inatokana na mchango ulioutoa kulingana na hoja husika, sasa wewe hapa umeongea nini mbona hueleweki?unaposema wengi walishatoa kibali kwa wao kufanya watakavyo unamaanisha nini? Jenga hoja tukuelewe!
 
Jifurahishe ewe mchumia tumbo maana bila kupinga humu ndani wewe huwezi kwenda haja, ndo maana umeajiriwa kwa muda na Ukawa.
bila buku7 wewe huishi sanasana utagegedwa ili maisha yaende
 
Katiba inayopendekezwa ndo jambo la maana, we unataka lipi tena?
 
kijana njaa itakuua na kama sio kukuuuwa basi utagegedwa sana tu kwa umburula wako na hicho kitabu cha fisadi wenu MAKENGEZA na ukitaka faham zikurudie basi chukua RASIMU YA JAJI WARIOBA isome vizuri kwa ufasaha alafu akili zikikurudia ndo uchukue hiyo toiletpaper yenu uangalie kama inafaa kucha.....ia au lah,. na kama hutailewa rasimu hiyo basi ww ni wa kupimwa na kulazwa
 
Katiba inayopendekezwa ndo jambo la maana, we unataka lipi tena?
jaribu kuichukua hiyo kitabu yako nenda nayo MSALANI afu chana page 2...3 afu jaribu kucha......bia ukiona imefaa na imekusafisha uzuri ilete haraka tutaipigia.
 


Kati ya hawa Dragunov Sniper wawili, ni yupi mleta hoja na yupi anayeendelea kuitafakari hoja? Naona kama mtu kajipasia free kick au kona!
 
Last edited by a moderator:

Ina maana hadi sasa hatuna katiba? ami naona hiyo iliyopo iendelee tu maana hii inayotangazwa kila mara kama wale wauza sumu ya mende na kunguni mitaani haina cha ziada kimantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…