Kuja kwa Sevilla: Simba watapigwa hadi wachakae!

TATA MKURIA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
299
Reaction score
407
Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
 
Kwa mfano,Samahani lkn;Sevilla ya kutoka HISPANIA ikifungwa na Simba Sc ya kutoka TANZANIA,Wewe Utaumiaje?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kwa mfano,Samahani lkn;Sevilla ya kutoka HISPANIA ikifungwa na Simba Sc ya kutoka TANZANIA,Wewe Utaumiaje?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
kwamba sevilla akifungwa kwamba ni kikosi "B" kama ni chenyewe basi wameuza game.
 
Naona Dishi lako limeyumba linaonyesha mchelemchele likikaa vizuri tutaona na supersport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…