Kuja kwa Sevilla: Simba watapigwa hadi wachakae!

Kuja kwa Sevilla: Simba watapigwa hadi wachakae!

Wale walionipinga mkuje mjibu baada ya dk 90 kuisha.
Wamechakaa au! Na aibu imebaki Tz,
Anyway mikia wamejaribu aisee!
 
Najua we chura hukutegemea haya matokeo na ulikuwa unaangalia TV kwa kuchungulia. Hawa ndo Simba!!
Mkuu mi hata c wa huko, hii niliiona mapema, ila wamejitahidi sana nisiwe mnafiki kuwapa kongole ila ukweli utakuwa pale pale wamekula kichapo!
 
Back
Top Bottom