PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Azam Sport HD Watakua hewani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Duuh ni ya kweli haya?
hii kitu itaonyeshwa na super sport. Naona azam tv wamepigwa chin sijui!!Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Nadhan ni supersport .azam na matangazo ya kamar wap na wapAzam Sport HD Watakua hewani.
Umeshapata jezi ya Sevilla? By the way sio mechi ya ushindani, ila unakaribishwa kuja uwanjani kuliona kombe!Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Zahera kaanza kuuza wachezaji wake ili kufidia madeni yakeHizi ramli ndizo zinazo wafanya mbweteke upande wa pili
Umeshapata jezi ya Sevilla? By the way sio mechi ya ushindani, ila unakaribishwa kuja uwanjani kuliona kombe!
[/QU
Suala la kuuza au kununua wachezaji ni jambo la kawaida mkuu, wengine hata hukopeshwa najua unajua, pia timu inajipatia pato iwapo mchezaji wake atanunuliwa na pesa hiyo itatumika katika timu kwa maamuzi ya uongozi, sioni ajabu hapa.Zahera kaanza kuuza wachezaji wake ili kufidia madeni yake
Mkuu utabiri wako Bado unaenda nao au umesha ghaili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Imani yako imekupotosha [emoji2][emoji2][emoji2]Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Wakuu,

So far Simba 4- Sevilla 2Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Du! Hii sasa kashfa mkuuUnatumiwa Na Mabeberu 😂😁😀
Naamini Kwasasa Unaona Matokeo
Simba Bingwa
Tembeeni Kifua Mbele Tupo Kwenye Light Track
😎😅