Kuja kwa Sevilla: Simba watapigwa hadi wachakae!

Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
hii kitu itaonyeshwa na super sport. Naona azam tv wamepigwa chin sijui!!
 
Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Umeshapata jezi ya Sevilla? By the way sio mechi ya ushindani, ila unakaribishwa kuja uwanjani kuliona kombe!
 
Mkuu
Nitakuja uwanjani niicheki hii mechi, jezi nshapata tayari. Pia niwape hongera kwa kutwaa hilo kombe kiongozi.
Umeshapata jezi ya Sevilla? By the way sio mechi ya ushindani, ila unakaribishwa kuja uwanjani kuliona kombe!
[/QU
 
Zahera kaanza kuuza wachezaji wake ili kufidia madeni yake
Suala la kuuza au kununua wachezaji ni jambo la kawaida mkuu, wengine hata hukopeshwa najua unajua, pia timu inajipatia pato iwapo mchezaji wake atanunuliwa na pesa hiyo itatumika katika timu kwa maamuzi ya uongozi, sioni ajabu hapa.
 
Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Mkuu utabiri wako Bado unaenda nao au umesha ghaili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Imani yako imekupotosha [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Unatumiwa Na Mabeberu 😂😁😀
Naamini Kwasasa Unaona Matokeo
Simba Bingwa

Tembeeni Kifua Mbele Tupo Kwenye Light Track
😎😅
 
Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
So far Simba 4- Sevilla 2
Kubali kataa,Simba iko vizuri.
Magoli ya Kagere,Kagere,Bocco na Chama
 
Back
Top Bottom