TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 299
- 407
- Thread starter
- #41
Povu ruksa.Hata tukifungwa goli 100, Simba hatakuja kuwa Chura!!
Nyie vyura size yenu ni Mabwepande FC timu ya daraja la 6, mnakaribishwa kuja kuangalia mechi ya kiume Simba wakikipiga na Timu kubws ya Ulaya. Walau 2050 mtapata nafasi ya kucheza walau na timu kubwa pale Burundi Ntambamulugamba FC!
Gracias muchus!