Kuja kwa Sevilla: Simba watapigwa hadi wachakae!

Povu ruksa.
 
Ila Yanga mna tabu sana,yan kila timu mtashangalia mwaka huu ili muwe against tu na simba,sasa cha kusikitisha mnaisahau timu yenu kule kwa kushabikia timu inayocheza na simba......
 
Usisahau mnyama hafungiki kwa mchina, na hivi tunacheza kichampioni wala hatubabaiki.
 
Unapoiongelea Sevilla jua wazi unaongelea timu kubwa barani ulaya!

Simba sio level ya sevilla. Waulize Liverpool mwaka 2015, walifanywa nini fainali ya Europa.

Tutarajie kuona benchi la ufundi likipata funzo jipya kwa ajili ya simba ijayo, ya msimu wa 2019/2020.

Tena imekuwa vizuri kabla ya jua kuzama,
 
Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
bora kuaibishwa na mzungu kuliko kutoaibishwa kabisa maana utasahaulika.
Pierre Liquid aliahibishwa pale mliman City na "Manenepa" na kuanzia pale kila mtu alimjua.
ukiingia google utaiona simba na sevila, sawa , yanga ipo kwenye pages za waganga wa kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…