TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 299
- 407
- Thread starter
-
- #81
bado dk ngapi?4-4 shabash!
Na bado mikia fc wanatepeta
Najua we chura hukutegemea haya matokeo na ulikuwa unaangalia TV kwa kuchungulia. Hawa ndo Simba!!Wale walionipinga mkuje mjibu baada ya dk 90 kuisha.
Wamechakaa au! Na aibu imebaki Tz,
Anyway mikia wamejaribu aisee!
Mkuu mi hata c wa huko, hii niliiona mapema, ila wamejitahidi sana nisiwe mnafiki kuwapa kongole ila ukweli utakuwa pale pale wamekula kichapo!Najua we chura hukutegemea haya matokeo na ulikuwa unaangalia TV kwa kuchungulia. Hawa ndo Simba!!
Uzuri tano zao wamekula kama kawaidaMkuu mi hata c wa huko, hii niliiona mapema, ila wamejitahidi sana nisiwe mnafiki kuwapa kongole ila ukweli utakuwa pale pale wamekula kichapo!
Pole KiongoziDu! Hii sasa kashfa mkuu