Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:
Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.
Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.
Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
- Usijamiane na mme au mke wa mtu
- Usijamiane na watoto
- Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
- Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
- Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
- Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako