Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

Ndugu nataka nikukumbushe kuwa hakikisha unatumia kila kiungo cha mwili wako vizuri katika kazi yake manake binadamu huwa anachoka na kuzeeka sasa utakapovizeesha bure bila kuvipa kazi hii haitakuwa na maana ndugu
Kwahyo kufanya ngono hovyo ni kutumia uume wako vizury ipaswavyo sindio unachomaanisha!
 
Mkuu vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia kwa muda mrefu ni njaa, usingizi, kiu ya maji na pumzi tu basi kwa sababu ni dhahiri utakufa, hayo mengine yote HAKUNA binadamu asiyeweza kujizuia narudia HAYUPO hata ungekuwa na sehemu za siri mwili mzima, ni watu tu wanaamua kujiendekeza na kutafuta sababu za kuhalalisha upumbavu ukisoma saikolojia ya binadamu utaelewa mkuu
Huo ni msimamo wako na miongozo yako ya dini.

Kwa mambo yaliyoainishwa hapo juu, kuanzia maridhiano l, kinga na n.k hakuna shida kabisa kuhusu sex
 
Sasa unafikiri ni wangapi huzingatia hayo mkuu, kwanini leo kuna cases kibao za watu kulawiti na kubaka watoto na wanawake, cases za magonjwa ya STDs/STIs ndio kabisa usiseme kwahiyo kama kuzingatia hayo haiwezekani bora kuabstain tu

Na huo si mtazamo wangu wala wa dini tu bali ndio uhalisia, binadamu tuna akili na utashi wa kutambua mazuri na mabaya tofauti na wanyama, hivyo siyo lazima tusome vitabu vya dini ndio tujue namna ya kujamiiana bali ni kutumia akili ya kawaida tu

Kutokana na madhara na maovu yaliyopo kwenye jamii yaliyosababishwa na uzinzi, ilitakiwa tujirekebishe na tutafute namna ya kuiokoa jamii pamoja na vizazi vijavyo, ila matokeo yake watu hawajali ndio kwanza wanazidi kutafuta sababu za kuuhalalisha
 
Uzinzi ndio uovu mkuu na ndio chanzo cha maovu yote duniani ikiwemo mapenzi ya jinsia moja

Solution ya haya yote ilikuwa ni kufanya hilo tendo kwenye ndoa tu ila watu wakatafuta visingizio vya kipumbavu vya kuhalalisha uzinzi

Na matokeo yake badala ya kuitwa tendo la ndoa limegeuka kuwa ngono tu ambayo hata wanyama wanaifanya
Wanyama na sisi hatuna tofauti yeyote mkuu
 
Swala la uzinzi ni gumu sana kuwafanya watu waache mkuu ndo maana pamoja na vitisho vyote vya maandiko lakini watu bado wanafanya uzinzi wakiwemo ni viongozi wa dini.

Mleta mada yuko sahihi angalau kwa muongozo aliyouweka hapo juu. Natamani ungetufikia wengi zaidi (wazinzi) ili kupunguza hayo madhara unayoyasema.
 
Wanyama na sisi hatuna tofauti yeyote mkuu
Tuna utofauti mkubwa sana msilazimishe tuwe sawa ilimradi tu mhalalishe kufanya maovu yanayofanywa na wanyama, wanyama hawana majukumu ya kutafuta pesa, kusomesha watoto, kulipa bills, kulea watoto katika misingi na maadili, na haya ndio mambo ambayo yanafanya binadamu tuwe wastaarabu na tufanye mambo yetu kiustaarabu, ndio maana binadamu tukapewa akili na utashi wa kutambua mazuri na mabaya
 
Chunguza nyuki ndio utajua wanautaratibu mzuri kuliko hata binadamu.
 
Kukuelewa na kuelewa sana ila ata wanyama wana ustaharabu wao ambao huu wa kwetu kwao si kitu na wao kwetu sio kitu.
Sawa putting into account hayo majukumu yote niliyokuorodheshea hapo juu kati ya sisi binadamu na hao wanyama unahisi ni nani anayetakiwa kuwa mstaarabu zaidi ya mwingine, na kwahiyo kwa sababu wanyama wanafanya uzinzi basi nasi tuwaige tufanye uzinzi kama wao siyo, na je unahisi madhara ya uzinzi kwa binadamu na kwa wanyama yako sawa
 
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:

  • Usijamiane na mme au mke wa mtu
  • Usijamiane na watoto
  • Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
  • Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
  • Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
  • Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako

Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.

Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.

Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
Hii ni sahihi kabisa, kuongezea hapo pia.

- usifanye mapenzi kinyume na maumbile.
 
Sawa putting into account hayo majukumu yote niliyokuorodheshea hapo juu kati ya sisi binadamu na hao wanyama unahisi ni nani anayetakiwa kuwa mstaarabu zaidi ya mwingine, na kwahiyo kwa sababu wanyama wanafanya uzinzi basi nasi tuwaige tufanye uzinzi kama wao siyo, na je unahisi madhara ya uzinzi kwa binadamu na kwa wanyama yako sawa
Hayo unayoita madhara yametokana na binadamu kutokuwa mstaarbu uzinzi ungekua mzuri tu kama binadamu wangekuwa wastaarabu .
 
Uzinzi ndio uovu mkuu na ndio chanzo cha maovu yote duniani ikiwemo mapenzi ya jinsia moja

Solution ya haya yote ilikuwa ni kufanya hilo tendo kwenye ndoa tu ila watu wakatafuta visingizio vya kipumbavu vya kuhalalisha uzinzi

Na matokeo yake badala ya kuitwa tendo la ndoa limegeuka kuwa ngono tu ambayo hata wanyama wanaifanya
Alafu dhambi ndio ilisababisha hali hii ya kupenda ngono na kuifanya kama ibada. Umaskini pia unasababisha mawazo haya kwani vijana hawana la kufanya, wakishakula bure wanawaza ngono tu. Kimsingi, ngono sio kitu cha kukikuza hivi na kukifanya kama ni ibada.
 
Hayo unayoita madhara yametokana na binadamu kutokuwa mstaarbu uzinzi ungekua mzuri tu kama binadamu wangekuwa wastaarabu .
Mkuu kitu ukishasema uzinzi maana yake siyo ustaarabu tena yani uzinzi na ustaarabu haviwezi kukaa pamoja, sababu maana ya uzinzi ni ngono inayofanywa bila ustaarabu maalum ndio maana binadamu tukawekewa ustaarabu wa ndoa na familia, kwamba lazima kila mtu awe na mwenza au wenza maalum ambao watafunga ndoa na kuzaa watoto ambao watahitaji kuhudumiwa, kusomeshwa, kulelewa katika maadili ya kijamii na kila kitu

Huku kuzini na kuzaazaa hovyo kama wanyama ndio kumesababisha watoto wengine wakose malezi ya baba na mama na kuwa na tabia za ajabu, wakati kiuhalisia binadamu anahitaji malezi ya wazazi wote wawili tofauti na wanyama ambao watoto wanahitaji malezi ya ukuaji wa mwili tu, ambayo yanaweza kufanywa na mama tu na baada ya muda mfupi huanza kujitegemea wenyewe kwenye kila kitu

Yani kwa akili ya kawaida tu hatutakiwi kujifananisha na wanyama hata kidogo wala hatutakiwi kabisa kuwatolea mifano, au kuwatumia kama miongozo yetu maana sifa ambazo tunafanana nao ni chache sana kuliko sifa ambazo zinatutofautisha nao, ni mtu asiye na akili tu ndio anaweza kufanya hivo
 
Alafu dhambi ndio ilisababisha hali hii ya kupenda ngono na kuifanya kama ibada. Umaskini pia unasababisha mawazo haya kwani vijana hawana la kufanya, wakishakula bure wanawaza ngono tu. Kimsingi, ngono sio kitu cha kukikuza hivi na kukifanya kama ni ibada.
Yeah wewe umenielewa mkuu yani binadamu hasa ngozi nyeusi wa kizazi hiki wanatukuza sana ngono kuliko kawaida na kuifanya ni big deal, kiasi kwamba wengine wanalazimisha iwe basic need na kuona kwamba bila ngono hawawezi kuishi, na matokeo yake dunia ndio imekuwa hivi ilivyo leo na ubaya ni kwamba tunatamani jamii iliyo bora ila hakuna ambaye yuko tayari kuanza kubadilika
 
Mkuu kitu ukishasema uzinzi maana yake siyo ustaarabu tena yani uzinzi na ustaarabu haviwezi kukaa pamoja, sababu maana ya uzinzi ni ngono inayofanywa bila ustaarabu maalum ndio maana binadamu tukawekewa ustaarabu wa ndoa na familia, kwamba lazima kila mtu awe na mwenza au wenza maalum ambao watafunga ndoa na kuzaa watoto ambao watahitaji kuhudumiwa, kusomeshwa, kulelewa katika maadili ya kijamii na kila kitu

Huku kuzini na kuzaazaa hovyo kama wanyama ndio kumesababisha watoto wengine wakose malezi ya baba na mama na kuwa na tabia za ajabu, wakati kiuhalisia binadamu anahitaji malezi ya wazazi wote wawili tofauti na wanyama ambao watoto wanahitaji malezi ya ukuaji wa mwili tu, ambayo yanaweza kufanywa na mama tu na baada ya muda mfupi huanza kujitegemea wenyewe kwenye kila kitu

Yani kwa akili ya kawaida tu hatutakiwi kujifananisha na wanyama hata kidogo wala hatutakiwi kabisa kuwatolea mifano, au kuwatumia kama miongozo yetu maana sifa ambazo tunafanana nao ni chache sana kuliko sifa ambazo zinatutofautisha nao, ni mtu asiye na akili tu ndio anaweza kufanya hivo
Wanyama ni wastaarabu sana ndio maana hawana mipaka na sheria ,wanaendeshwa na nature ambayo kamwe haiwezi kukosea kitu , nature imemwekea mwanaume mamilioni ya sperms , je unafikiri nature ilikua inalengo lipi , sisi sio wastaarabu ila tunajifanya wastaarabu ndio maana kuna mambo yanatugeuka.
 
Na hapo ndio point ya kwamba binadamu tumepewa akili na utashi kuliko wanyama inapoingia, saikolojia ya binadamu ni pana sana mkuu ukiisoma vizuri ukaielewa utajua kwamba hayupo binadamu asiyeweza kuzuia tamaa za ngono come what may, vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia ni njaa, usingizi, kiu ya maji na pumzi tu maana ni dhahiri baada ya muda fulani atakufa ila vingine vyote narudia hakuna binadamu asiyeweza kujizuia maana hakuna binadamu anakufa kwa kukosa ngono ni kujiendekeza tu
 
Back
Top Bottom