Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

Na hapo ndio point ya kwamba binadamu tumepewa akili na utashi kuliko wanyama inapoingia, saikolojia ya binadamu ni pana sana mkuu ukiisoma vizuri ukaielewa utajua kwamba hayupo binadamu asiyeweza kuzuia tamaa za ngono come what may, vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia ni njaa, usingizi, kiu ya maji na pumzi tu maana ni dhahiri baada ya muda fulani atakufa ila vingine vyote narudia hakuna binadamu asiyeweza kujizuia maana hakuna binadamu anakufa kwa kukosa ngono ni kujiendekeza tu
Safi,nimependa ulivyoelezea mkuu
 
Mkuu vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia kwa muda mrefu ni njaa, usingizi, kiu ya maji na pumzi tu basi kwa sababu ni dhahiri utakufa, hayo mengine yote HAKUNA binadamu asiyeweza kujizuia narudia HAYUPO hata ungekuwa na sehemu za siri mwili mzima, ni watu tu wanaamua kujiendekeza na kutafuta sababu za kuhalalisha upumbavu ukisoma saikolojia ya binadamu utaelewa mkuu
Kwani mleta uzi amesemaje?. Naona kama upo nje ya mada.
Hakuna kosa/dhambi, bali tafsiri.
 
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:

  • Usijamiane na mme au mke wa mtu
  • Usijamiane na watoto
  • Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
  • Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
  • Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
  • Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako

Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.

Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.

Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
Usijamiane na mme au mke wa mtu[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkishakubaliana watu wawili,habari ya dhambi inakuwa hadithi tu!
 
Kipengele cha kwanza kitoe, then mengine tuendelee na mjadala.

Muhimu yawepo makubaliano tu.
 
Wanachoogopa watu ni walichotuambia wamisionari kuwa ni dhambi. Umenena, ni starehe ya pekee Mungu aliyotuzawadia. Sio binadamu tu, kiumbe chochote chanye uhai.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mnaridhiana na mpime Kabisa

Sexy bila Kinga is awesome asikwambie mtu

Utamu ni utamu

Ushauri Tu Vijana wenzagu tusigonge Kila Manzil hata kama unavipesa tafuta pisi Mbili tatu zinajielwa ishi nazo kuwa na wachumba wengi sometime tunaachiwa mikosi na nuksi Tu

Jambo wake za watu tusigonge narudia Tena wake za watu muwapuuze mno ila single mama tuishi nao [emoji8]
 
Uzinzi ndio uovu mkuu na ndio chanzo cha maovu yote duniani ikiwemo mapenzi ya jinsia moja

Solution ya haya yote ilikuwa ni kufanya hilo tendo kwenye ndoa tu ila watu wakatafuta visingizio vya kipumbavu vya kuhalalisha uzinzi

Na matokeo yake badala ya kuitwa tendo la ndoa limegeuka kuwa ngono tu ambayo hata wanyama wanaifanya
Kupenda fedha ndio chanzo cha mabaya yote,soma biblia vizuri mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:

  • Usijamiane na mme au mke wa mtu
  • Usijamiane na watoto
  • Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
  • Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
  • Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
  • Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako

Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.

Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.

Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
Zingatio la kwanza na la mwisho yanahitikafiana
 
Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kimewekwa safi kabisa namba moja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:

  • Usijamiane na mme au mke wa mtu
  • Usijamiane na watoto
  • Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
  • Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
  • Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
  • Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako

Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.

Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.

Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
umesahau, kufanya ngono na mtu asiye mkeo, yaani uasherati (kwenu msio kwenye ndoa) ni dhambi na itakufanye uende motoni.
 
Ktk mktadha wa mleta mada kuna madhara gani?
- si nke wa ntu.
-si ntoto.
-kuna makubaliano.
Unapofanya na mpenzi wa mtu inamana kwamba unamuumiza yule aliyeko nae, lakini vilevile yule aliye naye anaweza kukudhuru
Watoto hapana kwasababu bado hawawezi kujiongoza wenyewe, wanahitaji kuongozwa na waliowazidi umri
 
Back
Top Bottom