mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
Safi,nimependa ulivyoelezea mkuuNa hapo ndio point ya kwamba binadamu tumepewa akili na utashi kuliko wanyama inapoingia, saikolojia ya binadamu ni pana sana mkuu ukiisoma vizuri ukaielewa utajua kwamba hayupo binadamu asiyeweza kuzuia tamaa za ngono come what may, vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia ni njaa, usingizi, kiu ya maji na pumzi tu maana ni dhahiri baada ya muda fulani atakufa ila vingine vyote narudia hakuna binadamu asiyeweza kujizuia maana hakuna binadamu anakufa kwa kukosa ngono ni kujiendekeza tu
Kwani dini inakataza sex?Sasa watu wataujazaje ulimwenguUmenena vyema sex ni hitaji la msingi la kiumbe hi, subiri povu la wafia dini.
Kwani mleta uzi amesemaje?. Naona kama upo nje ya mada.Mkuu vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia kwa muda mrefu ni njaa, usingizi, kiu ya maji na pumzi tu basi kwa sababu ni dhahiri utakufa, hayo mengine yote HAKUNA binadamu asiyeweza kujizuia narudia HAYUPO hata ungekuwa na sehemu za siri mwili mzima, ni watu tu wanaamua kujiendekeza na kutafuta sababu za kuhalalisha upumbavu ukisoma saikolojia ya binadamu utaelewa mkuu
Usijamiane na mme au mke wa mtu[emoji419][emoji375]Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:
- Usijamiane na mme au mke wa mtu
- Usijamiane na watoto
- Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
- Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
- Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
- Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako
Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.
Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.
Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
Balehe zinakuwa kama mitihani ya taifa, zinakuwa 4 tu. Darasa 4,7 form4 na six then hapo mbelee ni balaausisubirie mpaka uoe/uolewe
ingekua Mungu anataka watu wasizini, basi angeweka balehe ianze kwenye miaka 30 wakati wa kuoa
Kosa au dhambi hutafsiriwa kutokana na madhara inayosababisha mkuuKwani mleta uzi amesemaje?. Naona kama upo nje ya mada.
Hakuna kosa/dhambi, bali tafsiri.
Hata ushoga nao mara nyingi huwa ni watu wawili wameamua kukubaliana kwahiyo nayo tuifanye isiwe dhambi siyoMkishakubaliana watu wawili,habari ya dhambi inakuwa hadithi tu!
Ktk mktadha wa mleta mada kuna madhara gani?Kosa au dhambi hutafsiriwa kutokana na madhara inayosababisha mkuu
Kupenda fedha ndio chanzo cha mabaya yote,soma biblia vizuri mkuuUzinzi ndio uovu mkuu na ndio chanzo cha maovu yote duniani ikiwemo mapenzi ya jinsia moja
Solution ya haya yote ilikuwa ni kufanya hilo tendo kwenye ndoa tu ila watu wakatafuta visingizio vya kipumbavu vya kuhalalisha uzinzi
Na matokeo yake badala ya kuitwa tendo la ndoa limegeuka kuwa ngono tu ambayo hata wanyama wanaifanya
Hapanaaaa ππππππKipengele cha kwanza kitoe, then mengine tuendelee na mjadala.
Muhimu yawepo makubaliano tu.
Zingatio la kwanza na la mwisho yanahitikafianaNdugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:
- Usijamiane na mme au mke wa mtu
- Usijamiane na watoto
- Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
- Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
- Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
- Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako
Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.
Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.
Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kimewekwa safi kabisa namba moja.
umesahau, kufanya ngono na mtu asiye mkeo, yaani uasherati (kwenu msio kwenye ndoa) ni dhambi na itakufanye uende motoni.Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:
- Usijamiane na mme au mke wa mtu
- Usijamiane na watoto
- Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
- Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
- Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
- Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako
Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.
Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.
Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
Unapofanya na mpenzi wa mtu inamana kwamba unamuumiza yule aliyeko nae, lakini vilevile yule aliye naye anaweza kukudhuruKtk mktadha wa mleta mada kuna madhara gani?
- si nke wa ntu.
-si ntoto.
-kuna makubaliano.
Sasa ole wako!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]