Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
- Thread starter
- #41
Hii mada haiwafai watu ambao hawajaokoka. Ni vigumu kuielewa kwakuwa akili zao bado zimepofushwa na mungu wa dunia hii[shetani]. Bila huo upofu kuondolewa sio rahisi kuelewa.Muulize hivi hii style ya kunena kwa lugha sizisoeleweka nani aliyeifanya au imeanza hivi karibuni kipjndi hiki, kama manabii waliandika vitabu vingi hatujaona lugha kama za ahabakdbsjaknshana, wala malaika hawakuwa wakiongea lugha za hivi bali waliongea lugha zinazo eleweka japo hawakuwa wayahudi wala waebrania lakini waliongea na manabii na kuelewana.
Mimi nime muuliza hizi shabababakakankam, ni kunena kwa lugha za roho mtakatifu ni kwa hivi leo tu ? hajanijibu huyu walimu wake sio kabisa.
Ni mada inayowalenga waliookoka tayari na wenye kiu ya kumtangaza Yesu.