Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ni raha ya ajabu!

Watu wenye IQ kubwa duniani walimkiri Yesu kuwa ni Bwana na kuamini mafundisho yake. Wewe unayebeza, unawazidi nini watu hawa?

Wapi bimebeza Mkuu. Miye nimekazia.

Kwani machizi au magwiji wa ngada hawasemi raha wanayojisikia nayo?
 
Dalili za mental health?😀
Kwanza ndugu yangu, kabla ya kuijibu hoja yako, umeandika nusu ya sentensi. Neno "mental health" ni pana sana na siyo ugonjwa. Kila mtu ana mental health, iwe nzuri au mbaya. Ulichotaka kusema labda ni mental health problem au mental illness. Kwa hiyo hoja yako tayari haina mashiko kwa sababu ina makosa ya lugha.😎

Anyway, tukiacha hilo, je, unajua kuwa watu wenye akili kubwa zaidi duniani, kama Blaise Pascal, Francis Collins, na hata yule anayetajwa kuwa na IQ ya juu zaidi duniani, YoungHoon Kim, waliamua kumwamini Kristo hadharani?
Kama kumwamini Yesu ni dalili ya ‘ugonjwa wa akili,’ basi tunapaswa kusema watu wenye akili kubwa zaidi katika historia walikuwa wagonjwa. Je, hiyo inakubaliana na mantiki?

"...hekima ya dunia hii ni upuzi mbele za Mungu’."(1 Wakorintho 3:19).

Ninakuchallenge ndugu yangu: badala ya kukimbilia kucheka na kudharau, isikilize sauti ya Kristo inayokuita uokoke. Jesus is coming soon. Akirudi kabla hujaokoka, utakuwa umechelewa kuamini.
Lugha ni chombo TU cha kufikisha ujumbe, kama ujumbe umefika basi lugha ishafanya kazi yake na haina makosa.

Kuhusu hao kina Collins,....: kuwa na IQ kubwa Katika nyanja zingine hakukufanyi usiwe na mental illness.
Unaweza kuwa na psychotic disorders ila una high memory/IQ
Unaweza ukawa genius wa hesabu lakini unajikojolea kitandani,

kwahyo ndugu kuamini mizimu ya wafu uliosimuliwa Kwenye vitabu vilivyoletwa na wazungu ili wakutawale na kukuuza utumwani kuwa itakuokoa na uafrika wako pia ni dalili ya mental case
 
Hii mambo of speaking in tongues can be clearly explained by science, not trying to discredit the believers, lakini the phenomenon has even been reproduced in experiments many times bila kuhusisha dini au imani yeyote
 
Lugha ni chombo TU cha kufikisha ujumbe, kama ujumbe umefika basi lugha ishafanya kazi yake na haina makosa.

Kuhusu hao kina Collins,....: kuwa na IQ kubwa Katika nyanja zingine hakukufanyi usiwe na mental illness.
Unaweza kuwa na psychotic disorders ila una high memory/IQ
Unaweza ukawa genius wa hesabu lakini unajikojolea kitandani,

kwahyo ndugu kuamini mizimu ya wafu uliosimuliwa Kwenye vitabu vilivyoletwa na wazungu ili wakutawale na kukuuza utumwani kuwa itakuokoa na uafrika wako pia ni dalili ya mental case
Ujumbe hauwezi kufika kama umejaa makosa ya kiuandishi. Wewe unayejiona uko fit mentally, kinachokufanya ushindwe kufanya proofreading kabla ya kupost comment ni nini?

Anyway, it’s important to distinguish high IQ from mental illness. Surely, someone can be a genius in mathematics and still face psychological challenges, but that does not mean their faith in Christ is a sign of mental illness.

The truth is, people like Blaise Pascal, Francis Collins, and YoungHoon Kim deliberately chose to follow Christ after careful reasoning, reflection, and evidence. This is neither irrational nor a symptom of psychological disorder.

Moreover, the Bible clearly teaches:
‘For the message of the cross is foolishness to those who are perishing, but to us who are being saved it is the power of God.’ (1 Corinthians 1:18)

What the world may see as foolish, like the cross, is actually true power and wisdom of God, not a sign of mental instability. Therefore, using the term ‘mental illness’ in this context is a misrepresentation of logic. Christian faith is not madness; it is the highest form of wisdom.

Endelea tu kuwa mbishi, utajuta siku utakapoaga dunia.
 
kwahyo ndugu kuamini mizimu ya wafu uliosimuliwa Kwenye vitabu vilivyoletwa na wazungu
Ni ajabu sana unaipinga Biblia halafu bado unaamini kuna mizimu!!

Mimi namwamini Yesu na nguvu zake za kuponya. Angalia jinsi ninavyosev mapesa ya kutibiwa hospitali
 
Anyway, it’s important to distinguish high IQ from mental illness. Surely, someone can be a genius in mathematics and still face psychological challenges, but that does not mean their faith in Christ is a sign of mental illness.
Okay, asanteee Kwa kukubali hili. I argue that faith in invisible dead people to help you is a clear sign of mental illness. It is also a sign of schizophrenia

The truth is, people like Blaise Pascal, Francis Collins, and YoungHoon Kim deliberately chose to follow Christ after careful reasoning, reflection, and evidence. This is neither irrational nor a symptom of psychological disorder.
What is that reasoning? Indulge us in those reflections and show us that evidence.
Moreover, the Bible clearly teaches:
‘For the message of the cross is foolishness to those who are perishing, but to us who are being saved it is the power of God.’ (1 Corinthians 1:18)

What the world may see as foolish, like the cross, is actually true power and wisdom of God, not a sign of mental instability. Therefore, using the term ‘mental illness’ in this context is a misrepresentation of logic. Christian faith is not madness; it is the highest form of wisdom.

Endelea tu kuwa mbishi, utajuta siku utakapoaga dunia.
The bible is just a comic book written by ancient writers/scribes (who are mostly unknown) to convey how mentally ill they were.
Also some parts were written by kings/rulers like Moses, David,Solomon,etc. inorder to rule the weak
 
Ngoja nikufafanulie tena: kuna aina mbili za kunena kwa lugha:
  1. Lugha za wanadamu (kama ilivyokuwa Pentekoste) – ambazo mtu mwingine anaweza kuzisikia na kuelewa bila tafsiri, kwa kuwa ni lugha halisi za watu.
  2. Lugha za rohoni – ambazo si za kibinadamu, bali ni lugha mpya za kiroho kwa mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu. Hizi mara nyingi hazieleweki kwa akili ya mwanadamu bila karama ya tafsiri za lugha (1 Wakorintho 14:2, 14-15).
Wanafunzi wa yesu na early christian hawakuwa wananena kwa lugha kama nyie mnaopagawa na mapepo
God is not the God of confusion
Sasa tofauti yenu na wale wanaoshikwa na mapepo yale makelele na fujo ni nini?
 
Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.

Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.

Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.

Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.

Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.

Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.

Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)

View attachment 3464355
Ngoja nisome comments kwa kweli
 
Wanafunzi wa yesu na early christian hawakuwa wananena kwa lugha kama nyie mnaopagawa na mapepo
God is not the God of confusion
Sasa tofauti yenu na wale wanaoshikwa na mapepo yale makelele na fujo ni nini?
Inashangaza sana unaamini kwamba kuna kupagawa na mapepo halafu huamini kwamba kuna kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha. Nimeeleza kwa undani tofauti ya kupagawa na mapepo na kujazwa Roho Mtakatifu. Soma post #15

Halafu sikiliza Paulo anavyosema hapa
“Namshukuru Mungu, kwa kuwa nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote." (1 Wakorintho 14:18)
 
Kwani ukiwa mlokole lazima uwe kichaa pia?
Kwani unalazimishwa ku-copy na ku-paste sentensi zile zile katika kila mada? Si uwe mbunifu hata kidogo? For someone who carries the designation of an Expert Member, one would reasonably expect insights that exhibit nuance, logical coherence, and intellectual rigor. Yet your recurrent reliance on the same perfunctory and illogical assertions dilutes the very gravitas of that title. If expertise is to be more than ornamental, may I challenge you to elevate the caliber of your contributions — to engage with arguments substantively, and to demonstrate the analytical depth that an expert status ought to embody?
 
Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.

Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.

Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.

Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.

Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.

Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.

Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)

View attachment 3464355
Tusaidie basi kumwambia roho mtakatifu Yale watanganyika tunayoyapitia mwambie tumerudi kwenye uchguzi wa chama kimoja, mwambie pia kuhusu suala la Lissu halafu usisahau ishu ya waumini wa Gwajima kufungiwa makanisa.!
Mwambie ikiwezekana afanye kitu tena !
 
Kwani unalazimishwa ku-copy na ku-paste sentensi zile zile katika kila mada? Si uwe mbunifu hata kidogo? For someone who carries the designation of an Expert Member, one would reasonably expect insights that exhibit nuance, logical coherence, and intellectual rigor. Yet your recurrent reliance on the same perfunctory and illogical assertions dilutes the very gravitas of that title. If expertise is to be more than ornamental, may I challenge you to elevate the caliber of your contributions — to engage with arguments substantively, and to demonstrate the analytical depth that an expert status ought to embody?
Kutumia lugha ya kiingereza kwenye mada ya kiswahili ni ukichaa pia.
 
Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Na jukwaa hili siku hizi linaitwa: JamiiAfrica. Ni muhimu sasa kuanza kutumia lugha zaidi ya moja katika mada zetu, ili wasiojua Kiswahili nao wapate pate kitu. Au sio rafiki yangu. Oktoba tunatiki
 
Inashangaza sana unaamini kwamba kuna kupagawa na mapepo halafu huamini kwamba kuna kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha. Nimeeleza kwa undani tofauti ya kupagawa na mapepo na kujazwa Roho Mtakatifu. Soma post #15

Halafu sikiliza Paulo anavyosema hapa
“Namshukuru Mungu, kwa kuwa nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote." (1 Wakorintho 14:18)
Kupiga kelele kama umepagawa na actually huwa mmepagawa na kuanza kuongea uongo alabashahshaaaaka ili mnaowaibia pesa waone mnawasiliana na roho is not biblical na sito evidence ya roho mtakatifu.
“And he said, Go forth, and stand upon the mount before the LORD. And, behold, the LORD passed by, and a great and strong wind rent the mountains, and brake in pieces the rocks before the LORD; but the LORD was not in the wind: and after the wind an earthquake; but the LORD was not in the earthquake: and after the earthquake a fire; but the LORD was not in the fire: and after the fire a still small voice. And it was so, when Elijah heard it, that he wrapped his face in his mantle, and went out, and stood in the entering in of the cave. And, behold, there came a voice unto him, and said, What doest thou here, Elijah?”
‭‭1 Kings‬ ‭19‬:‭11‬-‭13‬ ‭KJV‬‬

+9

Inashangaza sana unaamini kwamba kuna kupagawa na mapepo halafu huamini kwamba kuna kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha. Nimeeleza kwa undani tofauti ya kupagawa na mapepo na kujazwa Roho Mtakatifu. Soma post #15

Halafu sikiliza Paulo anavyosema hapa
“Namshukuru Mungu, kwa kuwa nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote." (1 Wakorintho 14:18)

The Bible describes the Holy Spirit's work as convicting the world of sin, regenerating believers, empowering them to be witnesses, providing comfort and guidance, teaching spiritual truths, and producing spiritual fruit like love and joy. Key verses include John 16:8 (conviction), John 3:5-6 (regeneration), Acts 1:8 (empowerment), Galatians 5:22-23 (spiritual fruit), and John 14:26 (teaching and guidance).

Key Works of the Holy Spirit
    • Conviction of Sin:
      The Holy Spirit convinces the world of their sin and need for righteousness and judgment.
        • John 16:8: "And when he comes, he will convict the world concerning sin and righteousness and judgment".
    • Regeneration (New Birth):
      The Holy Spirit brings new spiritual life to believers when they have faith in Christ.
        • John 3:5-6: Jesus says that one must be "born of the Spirit" to enter the Kingdom of God.
    • Empowerment:
      The Holy Spirit gives believers power to be witnesses for Christ.
        • Acts 1:8: "But you will receive power when the Holy Spirit has come upon you, and you will be my witnesses...".
    • Comfort and Guidance:
      The Holy Spirit is a Helper or Comforter, guiding believers in their daily lives.
        • John 14:26: "But the Helper, the Holy Spirit, whom the Father will send in my name, he will teach you all things and bring to your remembrance all that I have said to you".
    • Teaching and Enlightenment:
      The Spirit helps believers understand and accept biblical truths and doctrine.
        • John 16:13: "When the Spirit of truth comes, he will guide you into all the truth...".
    • Sanctification and Transformation:
      The Holy Spirit changes believers, transforming their character to become more holy.
        • Galatians 5:22-23: "But the fruit of the Spirit is love, joy, peace, patience, kindness, goodness, faithfulness, gentleness, self-control".
    • Sealing and Assurance:
      The Holy Spirit seals believers as God's own, giving assurance of their salvation.
  • Kitabu cha wafalme Eliya anatiambia roho wa mungu alitokea katika still and small voice
  • Na hayo mafungu nimeonyesha kwa kingereza hiso ndizo evidence za mtu mwenye roho wa Mungu
  • Sito lazima muwe na makelel mnapigia watu kelele
 
Napaswa nifanyeje nijazwe na Roho Mtakatifu
 
“Then Peter said unto them, Repent, and be baptized every one of you in the name of Jesus Christ for the remission of sins, and ye shall receive the gift of the Holy Ghost. For the promise is unto you, and to your children, and to all that are afar off, even as many as the Lord our God shall call.”
‭‭Acts‬ ‭2‬:‭38‬-‭39‬ ‭KJV‬‬
 
Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.

Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.

Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.

Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.

Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.

Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.

Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)

View attachment 3464355
Hauna church nijiunge kupata mafundisho zaid
 
Sio kweli, nani kakwambia haya hebu acha maneno ya uzushi unayorishwa na mwalimu wako asiyejua roho mtakatifu anapokuwa ndani ya mtu anakuwa vipi, heti anasikia raha ?

Mimi nakwambia Hakuna raha unayoisikia ndani yako zaidi ya majuto na kujiona sio kitu na mwenye makosa sana na sio starehe na raha kama unavyofikiria haipo hivyo hata kidogo.

Mtu akikwambia anaroho mtakatifu alafu anasema anajisikia raha huyo ni muongo. roho mtakatifu ni mzigo mzito sana kwa mtu huwezi kujisikia raha alafu uwe tayari kuchinjwa au kutundikwa msalabani kwaajili ya jina la yesu, lazima utwae mzigo mzito sana na majuto na utachukiwa na mataifa huwezi kuwa na raha wala starehe.

wasio mjua mungu husema roho mtakatifu ni starehe na raha lakini nakwambia ni maumivu na majuto hata kifo.
Chai
 
Back
Top Bottom