Hii mada haiwafai watu ambao hawajaokoka. Ni vigumu kuielewa kwakuwa akili zao bado zimepofushwa na mungu wa dunia hii[shetani]. Bila huo upofu kuondolewa sio rahisi kuelewa.Muulize hivi hii style ya kunena kwa lugha sizisoeleweka nani aliyeifanya au imeanza hivi karibuni kipjndi hiki, kama manabii waliandika vitabu vingi hatujaona lugha kama za ahabakdbsjaknshana, wala malaika hawakuwa wakiongea lugha za hivi bali waliongea lugha zinazo eleweka japo hawakuwa wayahudi wala waebrania lakini waliongea na manabii na kuelewana.
Mimi nime muuliza hizi shabababakakankam, ni kunena kwa lugha za roho mtakatifu ni kwa hivi leo tu ? hajanijibu huyu walimu wake sio kabisa.
Ni lugha unayonena kwa kuwezeshwa na Roho Mtakatifu. Wewe huielewi na wanaokusikia hawaielewi. Lakini ni mawasiliano kati yako na Mungu. Ufafanuzi huu hapa katika kifungu hikiLugha za rohoni ni lugha gani?
Unasema unajua halafu unasema pengine kuna...Kuokoka ni lugha ya kiswahili inayomaanisha maana yake ni kuokolewa au unamaana nyengine ? sijausoma huo uzi kwasababu ninajua ndani yake pengine kuna pumba pumba tu
Hii piani dalili ya ugonjwa wa akili (mental health)Yesu anaponya magonjwa yote na kufufua wafu, mental health ni cha mtoto. Leta hoja nyingine
Wewe una kazi nyingi za kufanya kuliko hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa WakristoNi kukosa kazi za kufanya tu, hakuna kingine
Kuamini Katika mizimu/ wafu ambao huwajui wakuponye pia ni dalili za mental healthYesu anaponya magonjwa yote na kufufua wafu, mental health ni cha mtoto. Leta hoja nyingine
Hata watu hawa wenye IQ kubwa, mwanzoni waliona mambo ya ulokole ni porojo lakini baadaye walisalimu amri mbele mbele ya Kristo, wakaamua kuwa Wakristo. Wewe unawazidi nini watu hawa?Porojo as usual
Wana maslahi yao binafsi. SidanganyikiHata watu hawa wenye IQ kubwa, mwanzoni waliona mambo ya ulokole ni porojo lakini baadaye walisalimu amri mbele mbele ya Kristo, wakaamua kuwa Wakristo. Wewe unawazidi nini watu hawa?
Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...www.jamiiforums.com
Ni raha ajabu,sineni kwa lugha ila kuna zile encounters za Holly Spirit yaani hata ukiwa na matatizio yamekuzunguka unakuwa na raha ya ajabu.Huenda maisha yangekuwa marahisi sana na matamu kama tungeruhusu Holly Spirit kuflow...Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.
Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.
Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.
Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.
Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.
Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.
Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)
View attachment 3464355
Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.
Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.
Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.
Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.
Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.
Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.
Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)
View attachment 3464355
Ni raha ya ajabu sanaNi raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.
Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.
Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.
Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.
Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.
Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.
Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)
View attachment 3464355
Dalili za mental health?😀Kuamini Katika mizimu/ wafu ambao huwajui wakuponye pia ni dalili za mental health
Watu wenye IQ kubwa duniani walimkiri Yesu kuwa ni Bwana na kuamini mafundisho yake. Wewe unayebeza, unawazidi nini watu hawa?Hata magwiji wa ngada na machizi nao husema hivyo