Watu wenye IQ kubwa duniani walimkiri Yesu kuwa ni Bwana na kuamini mafundisho yake. Wewe unayebeza, unawazidi nini watu hawa?
Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...www.jamiiforums.com
Lugha ni chombo TU cha kufikisha ujumbe, kama ujumbe umefika basi lugha ishafanya kazi yake na haina makosa.Dalili za mental health?😀
Kwanza ndugu yangu, kabla ya kuijibu hoja yako, umeandika nusu ya sentensi. Neno "mental health" ni pana sana na siyo ugonjwa. Kila mtu ana mental health, iwe nzuri au mbaya. Ulichotaka kusema labda ni mental health problem au mental illness. Kwa hiyo hoja yako tayari haina mashiko kwa sababu ina makosa ya lugha.😎
Anyway, tukiacha hilo, je, unajua kuwa watu wenye akili kubwa zaidi duniani, kama Blaise Pascal, Francis Collins, na hata yule anayetajwa kuwa na IQ ya juu zaidi duniani, YoungHoon Kim, waliamua kumwamini Kristo hadharani?
Kama kumwamini Yesu ni dalili ya ‘ugonjwa wa akili,’ basi tunapaswa kusema watu wenye akili kubwa zaidi katika historia walikuwa wagonjwa. Je, hiyo inakubaliana na mantiki?Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...www.jamiiforums.com
"...hekima ya dunia hii ni upuzi mbele za Mungu’."(1 Wakorintho 3:19).
Ninakuchallenge ndugu yangu: badala ya kukimbilia kucheka na kudharau, isikilize sauti ya Kristo inayokuita uokoke. Jesus is coming soon. Akirudi kabla hujaokoka, utakuwa umechelewa kuamini.
Ujumbe hauwezi kufika kama umejaa makosa ya kiuandishi. Wewe unayejiona uko fit mentally, kinachokufanya ushindwe kufanya proofreading kabla ya kupost comment ni nini?Lugha ni chombo TU cha kufikisha ujumbe, kama ujumbe umefika basi lugha ishafanya kazi yake na haina makosa.
Kuhusu hao kina Collins,....: kuwa na IQ kubwa Katika nyanja zingine hakukufanyi usiwe na mental illness.
Unaweza kuwa na psychotic disorders ila una high memory/IQ
Unaweza ukawa genius wa hesabu lakini unajikojolea kitandani,
kwahyo ndugu kuamini mizimu ya wafu uliosimuliwa Kwenye vitabu vilivyoletwa na wazungu ili wakutawale na kukuuza utumwani kuwa itakuokoa na uafrika wako pia ni dalili ya mental case
Ni ajabu sana unaipinga Biblia halafu bado unaamini kuna mizimu!!kwahyo ndugu kuamini mizimu ya wafu uliosimuliwa Kwenye vitabu vilivyoletwa na wazungu
Okay, asanteee Kwa kukubali hili. I argue that faith in invisible dead people to help you is a clear sign of mental illness. It is also a sign of schizophreniaAnyway, it’s important to distinguish high IQ from mental illness. Surely, someone can be a genius in mathematics and still face psychological challenges, but that does not mean their faith in Christ is a sign of mental illness.
What is that reasoning? Indulge us in those reflections and show us that evidence.The truth is, people like Blaise Pascal, Francis Collins, and YoungHoon Kim deliberately chose to follow Christ after careful reasoning, reflection, and evidence. This is neither irrational nor a symptom of psychological disorder.
The bible is just a comic book written by ancient writers/scribes (who are mostly unknown) to convey how mentally ill they were.Moreover, the Bible clearly teaches:
‘For the message of the cross is foolishness to those who are perishing, but to us who are being saved it is the power of God.’ (1 Corinthians 1:18)
What the world may see as foolish, like the cross, is actually true power and wisdom of God, not a sign of mental instability. Therefore, using the term ‘mental illness’ in this context is a misrepresentation of logic. Christian faith is not madness; it is the highest form of wisdom.
Endelea tu kuwa mbishi, utajuta siku utakapoaga dunia.
Wanafunzi wa yesu na early christian hawakuwa wananena kwa lugha kama nyie mnaopagawa na mapepoNgoja nikufafanulie tena: kuna aina mbili za kunena kwa lugha:
- Lugha za wanadamu (kama ilivyokuwa Pentekoste) – ambazo mtu mwingine anaweza kuzisikia na kuelewa bila tafsiri, kwa kuwa ni lugha halisi za watu.
- Lugha za rohoni – ambazo si za kibinadamu, bali ni lugha mpya za kiroho kwa mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu. Hizi mara nyingi hazieleweki kwa akili ya mwanadamu bila karama ya tafsiri za lugha (1 Wakorintho 14:2, 14-15).
Ngoja nisome comments kwa kweliNi raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.
Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.
Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.
Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.
Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.
Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.
Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)
View attachment 3464355
Inashangaza sana unaamini kwamba kuna kupagawa na mapepo halafu huamini kwamba kuna kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha. Nimeeleza kwa undani tofauti ya kupagawa na mapepo na kujazwa Roho Mtakatifu. Soma post #15Wanafunzi wa yesu na early christian hawakuwa wananena kwa lugha kama nyie mnaopagawa na mapepo
God is not the God of confusion
Sasa tofauti yenu na wale wanaoshikwa na mapepo yale makelele na fujo ni nini?
Kwani unalazimishwa ku-copy na ku-paste sentensi zile zile katika kila mada? Si uwe mbunifu hata kidogo? For someone who carries the designation of an Expert Member, one would reasonably expect insights that exhibit nuance, logical coherence, and intellectual rigor. Yet your recurrent reliance on the same perfunctory and illogical assertions dilutes the very gravitas of that title. If expertise is to be more than ornamental, may I challenge you to elevate the caliber of your contributions — to engage with arguments substantively, and to demonstrate the analytical depth that an expert status ought to embody?Kwani ukiwa mlokole lazima uwe kichaa pia?
Tusaidie basi kumwambia roho mtakatifu Yale watanganyika tunayoyapitia mwambie tumerudi kwenye uchguzi wa chama kimoja, mwambie pia kuhusu suala la Lissu halafu usisahau ishu ya waumini wa Gwajima kufungiwa makanisa.!Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.
Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.
Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.
Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.
Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.
Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.
Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)
View attachment 3464355
Kutumia lugha ya kiingereza kwenye mada ya kiswahili ni ukichaa pia.Kwani unalazimishwa ku-copy na ku-paste sentensi zile zile katika kila mada? Si uwe mbunifu hata kidogo? For someone who carries the designation of an Expert Member, one would reasonably expect insights that exhibit nuance, logical coherence, and intellectual rigor. Yet your recurrent reliance on the same perfunctory and illogical assertions dilutes the very gravitas of that title. If expertise is to be more than ornamental, may I challenge you to elevate the caliber of your contributions — to engage with arguments substantively, and to demonstrate the analytical depth that an expert status ought to embody?
Kiingereza ni lugha ya kimataifa. Na jukwaa hili siku hizi linaitwa: JamiiAfrica. Ni muhimu sasa kuanza kutumia lugha zaidi ya moja katika mada zetu, ili wasiojua Kiswahili nao wapate pate kitu. Au sio rafiki yangu. Oktoba tunatikiKutumia lugha ya kiingereza kwenye mada ya kiswahili ni ukichaa pia.
Kupiga kelele kama umepagawa na actually huwa mmepagawa na kuanza kuongea uongo alabashahshaaaaka ili mnaowaibia pesa waone mnawasiliana na roho is not biblical na sito evidence ya roho mtakatifu.Inashangaza sana unaamini kwamba kuna kupagawa na mapepo halafu huamini kwamba kuna kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha. Nimeeleza kwa undani tofauti ya kupagawa na mapepo na kujazwa Roho Mtakatifu. Soma post #15
Halafu sikiliza Paulo anavyosema hapa
“Namshukuru Mungu, kwa kuwa nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote." (1 Wakorintho 14:18)
Inashangaza sana unaamini kwamba kuna kupagawa na mapepo halafu huamini kwamba kuna kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha. Nimeeleza kwa undani tofauti ya kupagawa na mapepo na kujazwa Roho Mtakatifu. Soma post #15
Halafu sikiliza Paulo anavyosema hapa
“Namshukuru Mungu, kwa kuwa nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote." (1 Wakorintho 14:18)
“Then Peter said unto them, Repent, and be baptized every one of you in the name of Jesus Christ for the remission of sins, and ye shall receive the gift of the Holy Ghost. For the promise is unto you, and to your children, and to all that are afar off, even as many as the Lord our God shall call.”Napaswa nifanyeje nijazwe na Roho Mtakatifu
Hauna church nijiunge kupata mafundisho zaidNi raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly.
Kama bado hujajazwa Roho Mtakatifu, anza kuomba ujazwe. Ila ngoja kwanza nikuelezee zaidi faida za kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha, ili uwe na kiu ya kuomba ujazo wa Roho Mtakatifu.
Ukijazwa, unapata nguvu ya kushinda dhambi na majaribu. Roho Mtakatifu atakupa uwezo wa kuishi maisha matakatifu na kumshinda shetani.
Utapata nguvu ya kushuhudia. Unapojazwa Roho Mtakatifu, unakuwa na ujasiri wa kutangaza habari njema za Yesu Kristo ulimwenguni, na kushuhudia utukufu wa Mungu maishani mwako.
Kunena kwa lugha ni ishara ya kujazwa Roho Mtakatifu. Ukijazwa, utaanza kuomba maombi yenye kina. Kunena kwa lugha kutakuwezesha kuomba mambo ambayo akili yako haiwezi kuyafikiria, kwa kuwa Roho mwenyewe ataomba kupitia kwako.
Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha sio hadithi, ni experience halisi ya kiroho, inayoambatana na raha isiyoelezeka. Ni zawadi ambayo Mungu anatupatia sisi watoto wake, ili tuishi kwa ushindi, furaha na ushirika wa karibu naye.
Wakristo wa kwanza walijazwa Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste. Wakanena kwa lugha mpya na kupata nguvu ya kuwa mashahidi wa Yesu (Mdo 2:4)
View attachment 3464355
ChaiSio kweli, nani kakwambia haya hebu acha maneno ya uzushi unayorishwa na mwalimu wako asiyejua roho mtakatifu anapokuwa ndani ya mtu anakuwa vipi, heti anasikia raha ?
Mimi nakwambia Hakuna raha unayoisikia ndani yako zaidi ya majuto na kujiona sio kitu na mwenye makosa sana na sio starehe na raha kama unavyofikiria haipo hivyo hata kidogo.
Mtu akikwambia anaroho mtakatifu alafu anasema anajisikia raha huyo ni muongo. roho mtakatifu ni mzigo mzito sana kwa mtu huwezi kujisikia raha alafu uwe tayari kuchinjwa au kutundikwa msalabani kwaajili ya jina la yesu, lazima utwae mzigo mzito sana na majuto na utachukiwa na mataifa huwezi kuwa na raha wala starehe.
wasio mjua mungu husema roho mtakatifu ni starehe na raha lakini nakwambia ni maumivu na majuto hata kifo.