Kujenga au kufungua biashara nyingine kipi nianze nacho?

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Biashara niifanyayo sasa iko vizuri tu kiasi nnaweza kuweka akiba ya kutosha

Sasa nipo njiapanda hatua ipi ifuate?

1. Ninawaza kuanza ujenzi kwa hatua...!!msingi...kati kisha kupaua
2. Nifungue biashara nyingine..(ni biashara nzuri na ina hela kama ikipata location nzuri)

Naomba mawazo yenu wadau

Thanks in advance
 
Okay ngojea nikuelezee

Hapa ofisini nina friji 2 na deep freezer 1
Lengo ni kuwa katika hiyo ofisi kuwe na biashara mbali mbali ili tu nisikose kote

1.kutakuwa na movie library ya movie zisizotafsiriwa...(hapa ntawawekea watu movies kwenye flash....hard disk....laptop na hata kuburn cd pia)...single movie hua ni jero series hua ni 1500

2.nitauza maji kwa bei ya chini....i mean lita 1.5 ntauza 500 na vinywaji vingine hasa hasa energy drinks...!!(hii mostly ni kwa ajili ya kuita wateja...!!na pia kutokosa pesa kabsaaaa)

3.nitauza bulb...(taa za majumbani)...na holder zake pia

4.nitauza batteries....usb chaji...!!flash na card reader na vingine vihusivyo simu

5.nitachajisha simu...!!

6.na vocha za kurusha pia zitakuwepo mitandao yooote

7.pia nitaweka hudum ya kuweka nyimbo na kuflash simu...!!(hii inahtaji mafunzo kidogo)

Lengo la kuchanganya kila biashara ni kuhakikisha napata wateja aina zote...!!naamin pia kwa siku sitakosa pesa kwa siku

Lengo kuu ni hilo ndugu....!!
Biashara gani hiyo mkuu, hebu funguka
 
Hii ndo plan nzima ya biashara....!!ila nilikuwa nmepanga pia wkt nahangaikia kuanzisha biashara....niweke beacon kwenye kiwanja changu ili kukilinda....ujenzi utaendelea wakat tukifanya biashara nyingne

Balance bajeti yako vizuri..ongezea biashara huku percent fulani hakikisha inaanzisha mchakato wa ujenzi..hata kama ni kununua tofali..au Mchanga...trip moja,mbili za mawe..
Nipo kwenye ajira na biashara pia...biashara ni kama hali ya hewa..unpredictable weather....inaweza badilika muda wowote...

Ikakua sana au ikayumba..kwa hiyo kila faida unayoipata kwenye biashara usiingize yote tena kwenye biashara ni hatari sana.

Anza kutenga hata asilimia 10 tuu unawekeza kwingine kidogo kidogo..baadaye akili ya kukuza biashara ikulipe zaidi itakujia.

Nimepitia hayo..sio siku biashara inaporomoka unakumbuka hujawahi nunua hata tofali kama plot unayo..utaanza majuto...

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye biashara mipango yako iwe kama vile biashara itakufa kesho hivyo daima lazima uwe na plan B au rasilimali itakayokupa jeuri kesho na keshokutwa.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Thanks boss

Back
Top Bottom