Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi? Kitu gani cha kienyeji unaweza kutumia kama mbadala, Unaweza bandika mablanketi maziko ukutani badala ya hizo? Vipi kuhusu suala la hewa ndani ya kibanda cha kurekodia?
Materials za kuchuja sauti ninazozungumzia ni hizo za blue.
Bongo kuna mafundi wenye uzoefu na hizi booth?
Materials za kuchuja sauti ninazozungumzia ni hizo za blue.
Bongo kuna mafundi wenye uzoefu na hizi booth?