Mkuu hizo mic zote nimezitumia mimi si technical sana kwenye mambo ya sauti ila nilikuwa nazitumia kwenye kazi fulani fulani na sound engineer alikataa sauti zilizokuwa recorded kwa hizo mic alinipa na sababu na mimi nilikuwa nasikia kuwa ina shida. Tena sio sound engineer mmoja, wawili tofauti mmoja mhindi mwingine alikuwa mspain. Ila kwa YT zinaweza work lakini sio kwa quality ya viango vya kimataifa.
Unaona hii sauti nimeirekodi kwa USB microphone ya samson c01U pro
View attachment 2862070
Halafu hii nimeirekodi kwenye makelele chumba madirisha ya wavu karibu na barabara hakina sound proof wala vitu vya kuzuia mwangwi nikaja kuondoa kelele baada ya kurekodi ndio maana somehow ina sound robotic. Na pia watoto nilikuwa nawatajia sentence moja moja wanarudia nikaja kukata sauti yangu na kuitoa.
View attachment 2862090
Wakili wa shetani