Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hicho kibanda. Labda cha futi nne kwa nne kitagharimu kiasi gani kwa seremala? Sidhani kama hata 1m itakaribia mkuu.Hiyo nikiiangalia kwa haraka haraka andaa 5mil
Kama unaishi nyumba isiyokuwa na kelele, basi chumba chenye nguo ziliotundikwa na mashelf ya vitabu ni bora sana sawa tu na kurekodia kwenye gari.Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi? Kitu gani cha kienyeji unaweza kutumia kama mbadala, Unaweza bandika mablanketi maziko ukutani badala ya hizo? Vipi kuhusu suala la hewa ndani ya kibanda cha kurekodia?
Materials za kuchuja sauti ninazozungumzia ni hizo za blue.
View attachment 2860776
Bongo kuna mafundi wenye uzoefu na hizi booth?
View attachment 2860779
View attachment 2860780
Tafuta mic nzuri aina ya condenser,Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi? Kitu gani cha kienyeji unaweza kutumia kama mbadala, Unaweza bandika mablanketi maziko ukutani badala ya hizo? Vipi kuhusu suala la hewa ndani ya kibanda cha kurekodia?
Materials za kuchuja sauti ninazozungumzia ni hizo za blue.
View attachment 2860776
Bongo kuna mafundi wenye uzoefu na hizi booth?
View attachment 2860779
View attachment 2860780
Condensor mic nyingi za bei rahisi ni poor quality mics kwanza nyingi katoka recording hazizidi 16bits na sauti inakuwa haina quality na haijashiba.Tafuta mic nzuri aina ya condenser,
Mic za kichina nyingi ni condenser lakini zitakugharimu kwenye environment mana zinadaka sana sauti mbali na unayoitoa wewe, noise cancellation ni poor, hasa kama unapofanya content creation unaishi na familia utanielewa vizuri.
Ila mambo ya booth ni ya zamani, sikuizi hata studio nyingi hazina booth, kupunguza echo unaweza tumia hata tray chache tu za mayai
Zipo mic nzuri tu kwa matumizi ya huyu mdau below $40, kwasabu Shure ni ghali mno mkuu,Condensor mic nyingi za bei rahisi ni poor quality mics kwanza nyingi katoka recording hazizidi 16bits na sauti inakuwa haina quality na haijashiba.
Condensor mic yenye one direction inafaa.
Shure mic ni nzuri sana
Unatumia mic gani ambayo ni chini ya $40?Zipo mic nzuri tu kwa matumizi ya huyu mdau below $40, kwasabu Shure ni ghali mno mkuu,
Hata kwenye live recording sijawahi tumia Shure zaidi ya 5, kwa wanaoback vocal, Sasa ukija kwenye studio condenser angalia best shure ni more than $200
Hi ya matray itafaa sana. Shukrani. Mic nimeona rode nt1 imependekezwa sana. Wanadai itahitajika na preamp, unapendekeza ipi? Kazi yenyewe ni kama podcast/narration.Tafuta mic nzuri aina ya condenser,
Mic za kichina nyingi ni condenser lakini zitakugharimu kwenye environment mana zinadaka sana sauti mbali na unayoitoa wewe, noise cancellation ni poor, hasa kama unapofanya content creation unaishi na familia utanielewa vizuri.
Ila mambo ya booth ni ya zamani, sikuizi hata studio nyingi hazina booth, kupunguza echo unaweza tumia hata tray chache tu za mayai
Hivi ukiwa na mic, preamp na pc unaweza kurekodi muziki wa kiprofesional?Unatumia mic gani ambayo ni chini ya $40?
Ni usb au xlr?
Kuna kipindi nilifatilia sana hizo mambo huko youtube na nikaja gundua hili, kuna mwenye studio ya 20 Million na mwingine ana mic + PC na Audio Interface ila tofauti yake wimbo ukitolewa ni mdogo sana.Hivi ukiwa na mic, preamp na pc unaweza kurekodi muziki wa kiprofesional?
Yah mkuu. Studio ñyingi za kibongo hazina gharama hata.Hivi ukiwa na mic, preamp na pc unaweza kurekodi muziki wa kiprofesional?
Zipo XLR below $40 kwa matumizi ya YouTube.Unatumia mic gani ambayo ni chini ya $40?
Ni usb au xlr?
Soundcard, condenser mic yenye saturation nzuri, PC, Monitor Speaker na Monitor headphones.Hivi ukiwa na mic, preamp na pc unaweza kurekodi muziki wa kiprofesional?
Mkuu mic za bm ni mic mbovu kabisa. Labda kama anataka kuwa kama watu wengine. Ila kqa mtu anayejua quality ya sauti na anataka kufanya eding nzuri hawezi tumia mic za BM.Zipo XLR below $40 kwa matumizi ya YouTube.
Hata BM za mchina zinafanya Kaz fresh tu, anachohitaji ni soundcard au kama ni za USB atafute zipo.
Unataka quality gani ambayo bm mic haiwezi kukupa kwaajili ya YouTube mkuu ?Mkuu mic za bm ni mic mbovu kabisa. Labda kama anataka kuwa kama watu wengine. Ila kqa mtu anayejua quality ya sauti na anataka kufanya eding nzuri hawezi tumia mic za BM.
Kama anazitaka zinauzwa pale mikocheni kuanzia 80000 hadi 120000.
Ila ni mic mbovu.
Ukitaka kufanya kitu kikulipe, fanya kwa viwango vya juu. Ndio maana mkbh aliset standard ya ubora wa video na sauti kwa youtubers.