Kujenga audio recording booth ya "kienyeji" inaweza gharimu kiasi gani?

Unataka quality gani ambayo bm mic haiwezi kukupa kwaajili ya YouTube mkuu ?
Mbona hata simu unatoboa nayo tu fresh ?
Ila vocal recording nitakubaliana na wewe, sio youtube
Quality ya kiwango kizuri sio kama audio za watu wengine. Kama anataka fanya kibongo bongo sawa tu.
 
Quality ya kiwango kizuri sio kama audio za watu wengine. Kama anataka fanya kibongo bongo sawa tu.
Zungumzia quality ya audio mkuu, kuwa inashida gan bm kwa matumizi ya YouTube, I mean kuwa technical kama ni transient, saturation n.k tukuelewe.
Ingekuwa level nyingine tungemshauli tubeless,
 
Mkuu nipe hiyo kazi nikufungie Sound proof yenye Ubora na kwa gharama nafuu!

Nina uzoefu wa kufunga Sound proof kwenye Studio za ku record Music pia kwenye Kumbi Kubwa (Night Clubs)

Nambia ukubwa wa eneo unalotaka kufunga Sound proof, piga picha Mazingira ndani ya Chumba, nitumie mimi ntakupa bei.
 
Zungumzia quality ya audio mkuu, kuwa inashida gan bm kwa matumizi ya YouTube, I mean kuwa technical kama ni transient, saturation n.k tukuelewe.
Ingekuwa level nyingine tungemshauli tubeless,
Mkuu hizo mic zote nimezitumia mimi si technical sana kwenye mambo ya sauti ila nilikuwa nazitumia kwenye kazi fulani fulani na sound engineer alikataa sauti zilizokuwa recorded kwa hizo mic alinipa na sababu na mimi nilikuwa nasikia kuwa ina shida. Tena sio sound engineer mmoja, wawili tofauti mmoja mhindi mwingine alikuwa mspain. Ila kwa YT zinaweza work lakini sio kwa quality ya viango vya kimataifa.
Unaona hii sauti nimeirekodi kwa USB microphone ya samson c01U pro
Your browser is not able to play this audio.

Halafu hii nimeirekodi kwenye makelele chumba madirisha ya wavu karibu na barabara hakina sound proof wala vitu vya kuzuia mwangwi nikaja kuondoa kelele baada ya kurekodi ndio maana somehow ina sound robotic. Na pia watoto nilikuwa nawatajia sentence moja moja wanarudia nikaja kukata sauti yangu na kuitoa.
Your browser is not able to play this audio.

Wakili wa shetani
 
Uko vizuri mkuu. Kumbe ukipata chumba kizuri mahali hakuna kelele unaweza usihitaji booth.
 
Sasa kama unajua audio yako unapeleka kwa sound eng unategemea Nini mkuu kwenye bm mic.
BM pia nimezitumia na ndiomana naconfirm kwamba kwenye YouTube bm zinafaa kwa Asilimia nyingi tu isipokuwa kama unafanya darasa la muziki YouTube, japo unaweza fanya voice over,
BM hujanipa sababu ya msingi ya kuikataa, ila nachoweza kukwambia bm zinanasa sana sauti sana, kuliko ambayo ni main.
 
Mkuu mimi napenda nikifanya kitu kiwe cha quality kubwa. Kama video ya YT iwe HD au 4k ikiwa na lighting nzuri. Kama ni audio iwe high quality.
Anya way mimi sifanyi YT mkuu. Unasema Bm zinanasa sana sauti? Basi hiyo USB mic ya samson ni balaa inanasa sauti hata ambazo wewe huwezi kuzisikia ila ukiwa na headphone utazisikia. Ni extremely sensitive.
Mimi nina usb mic ambayo napenda kuitumia na pia nina scarlett sound card 2i2 na mic yake. Sema naitumia kwa nadra sana napensa kutumia usb mic yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…