Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Una akili timamu au unalazimisha kujadili mada hii?Nchi zote unazoona zimesimama duniani zimemwga damu hasa kuwandoa wasaliti Rwanda leo mnapenda kuitolea mfano ila fuatilia historian take miaka 10 nyuma. utajua kwamba hakuna mamlaka takatifu.
Jibu hoja. nchi ipi takatifu au awmu ipi ni takatifu usikimbilie matusUna akili timamu au unalazimisha kujadili mada hii?
Hakwenda kiofisi. Alipitia tu dk.2 alipokuwa kwenye shughuli zake Nairobi.Naomba kuuliza itifaki inasemaje makamu wa raisi alivyoenda kumtembelea Lisu aliomba ruhusa kwa hayati Magu?
Hiyo miundombinu yenyewe aliyojenga iko wapi wajamani? Au ni hii reli ambayo haijafikia hata 30% ya kukamilika kwake?Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na miundo mbinu mizuri. Pia alipokuwa rais wa JMT aliwakingia kifua wamachinga wasiwekewe kiwingu na kufanya biashara kwa uhuru wao.
Lakini hii pekee ndio inakuwa sababu ya kusema hakuna madoa yaliyowekwa na uongozi wake au utawala wake?
Muamar Ghadafi alitengeneza taifa lililokuwa na miundo mbinu mizuri tena ya kisasa kuliko hata nchi za ulaya. Alihakikisha watu wanapata elimu bure,ndoa bure na chakula bure, lakini doa pekee lilimfanya mpaka akauliwa kwa fedheha ni ukatili dhidi ya binadamu, tena alioufanya kwenye gereza maarufu la Abu salim. Maana alikuwa hataki kukosolewa.
Ni kweli kabisa hayati JPM alikuwa mfuatiliaji na msimamizi mzuri ndio maana alifanikisha nchi ikawa na miundo mbinu mizuri, ndio kusema alitawala bila dosari?
Magu amefanya makosa mengi kuliko mazuri,deni la taifa sasa ni 60 tri,yaani ni kubwa kuliko vitu vyote tulivyonavyo kama nchiAngalau we unakiri Kuna mambo yamefanyika mengine hayo ni makosa ya kibinaadamu maana hamna binaadam aliyekamilka. Na hamna uongoz ambao watu hawajapotea kwa awamu zote
Waliokuwa hawamkubali ni takribani 75%Hata Yesu hakukubaliwa na waisrael wote huo ndio utashi wa kibinaadamu hivyo hata JPM wapo wanao mkubali na wapo wasio mkubali hilo lazima liwepo kwa kuwa ndio hulka ya kibina adamu
Kuwa na Deni nalo ni kosa? wewe mwenyewe una madeni kibao so hayo ni makosaMagu amefanya makosa mengi kuliko mazuri,deni la taifa sasa ni 60 tri,yaani ni kubwa kuliko vitu vyote tulivyonavyo kama nchi
Unataka kusema waliotekwa, kujeruhiwa, waliouliwa na kupotezwa walikuwa vitani? Amani haiji bila ncha ya upanga. Huu msemo hutumika kwa watu wanaopigana vita kujikomboa kwa watu madhalimu acha kupotosha watu.Jibu hoja. nchi ipi takatifu au awmu ipi ni takatifu usikimbilie matus
Awamu ipi ilikuwa takatifu ambayo haijawai kutesa Wala kupoteza mtu Hilo ndo swali langu.Unataka kusema waliotekwa, kujeruhiwa, waliouliwa na kupotezwa walikuwa vitani? Amani haiji bila ncha ya upanga. Huu msemo hutumika kwa watu wanaopigana vita kujikomboa kwa watu madhalimu acha kupotosha watu.
Si ajabu wasifike 10...? Akili yako ilivyo ndogo unataka usikie habari za watu unaowajua au wanasiasa maarufu. Ndio maana ninakuhoji unazo akili? Kwa kwa kuwa awamu zote zilitesa na kupoteza watu ndio unaona ni swala la kawaida?Awamu ipi ilikuwa takatifu ambayo haijawai kutesa Wala kupoteza mtu Hilo ndo swali langu.
Halafu hata hao unasema wameteswa na kutekwa hebu waorodheshe tujue hata idadi yao. Si ajabu wasifke hata10 na bado hatuna ushahidi wa aliyewatesa au kuwateka, ni tuhuma tu.
Angalau we unakiri Kuna mambo yamefanyika mengine hayo ni makosa ya kibinaadamu maana hamna binaadam aliyekamilka. Na hamna uongoz ambao watu hawajapotea kwa awamu zote
Yanahusika kumpata kiongozi bora na sio asiye na dini ugeuka mtawala badala ya kiongoziMasuala ya dini yanaingia vipi?
Wanaunganisha lami zote kuanzia alipokuwa Waziri wa ujenzi enzi za Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kuwa zote hizo kajenga Magu.Hiyo miundombinu yenyewe aliyojenga iko wapi wajamani? Au ni hii reli ambayo haijafikia hata 30% ya kukamilika kwake?
Sio kweliNchi zote unazoona zimesimama duniani zimemwga damu hasa kuwandoa wasaliti Rwanda leo mnapenda kuitolea mfano ila fuatilia historian take miaka 10 nyuma. utajua kwamba hakuna mamlaka takatifu.
Alipofanya uswahiba na wale majirani wakamfundisha tabia hizo mbayaVibaraka wa Jiwe wamejitahidi kweli ku manipulate msiba ili ionekane Jiwe anapendwa sana , wamefanikiwa kiasi fulani ila uhalisia uko palepale wasiojulikana , watu kupotea , kutekwa , kufungwa kwenye viroba kufungulia watu kesi bandia za uhujumu uchumi , utakatishaji fedha , uonezi kufukuza watu kazi hovyo ,utumbuaji wa hovyo , ubomoleaji watu majumba ni baadhi ya sifa zake mbaya sana . Sasa swali hao walioenda kumuaga na kumzika ni wengi kuliko waliobaki ? Wasioenda ? Mataga ni empty set kwelikweli .
Mfano mfu.Hata Yesu hakukubaliwa na waisrael wote huo ndio utashi wa kibinaadamu hivyo hata JPM wapo wanao mkubali na wapo wasio mkubali hilo lazima liwepo kwa kuwa ndio hulka ya kibina adamu