Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

Magu amefanya makosa mengi kuliko mazuri,deni la taifa sasa ni 60 tri,yaani ni kubwa kuliko vitu vyote tulivyonavyo kama nchi
Ninataka ufafanuzi wako kwenye eneo hili la Trilioni 60 kuwa ni nyingi zaidi ya kila kitu tulichonacho..
 
Unataka kusema waliotekwa, kujeruhiwa, waliouliwa na kupotezwa walikuwa vitani? Amani haiji bila ncha ya upanga. Huu msemo hutumika kwa watu wanaopigana vita kujikomboa kwa watu madhalimu acha kupotosha watu.
Vita ziko nyingi.. tunajuaje!? kisa wewe unaamka unaenda kazini...usijedhani hakuna vita.
 
Nchi zote unazoona zimesimama duniani zimemwga damu hasa kuwandoa wasaliti Rwanda leo mnapenda kuitolea mfano ila fuatilia historian take miaka 10 nyuma. utajua kwamba hakuna mamlaka takatifu.
Pole sana, kama kwenu Kagame ndio mfano mwema wa utakatifu, Mungu katuokoa. na kazi ya kusafisha madhalimu inaendelea
1616872176310.png
 
Nchi zote unazoona zimesimama duniani zimemwga damu hasa kuwandoa wasaliti Rwanda leo mnapenda kuitolea mfano ila fuatilia historian take miaka 10 nyuma. utajua kwamba hakuna mamlaka takatifu.
Mwaga damu yako wewe kwanza pumbafu unashabkia kuuana kiraahisi tu
 
Back
Top Bottom