Tukubaliane kutokukubaliana, kuna maeneo ni ya kuishi maisha ya uzeeni au umestaafu kazi kama ni mwajiriwa unakula pensheni yako tu.
Ndio ukiangalia hata washuwa wa zamani unakuta wengi wana nyumba zaidi ya moja, kuna alipoanzia maisha na anapokwenda kumalizia maisha yake.
Utakaaje sehemu ambayo kutoka nyumbani ni lazima upande bodaboda buku mbili, then uunganishe madaladala, kwenda na kurudi kila siku utumie buku 6, huo ni utaahira.
National housing wanapaswa kubeba lawama zote kwa kutoandaa makazi ya bei nafuu low cost, matokeo yake kuna mpumbavu anaitwa Msechu akaigeuza NHC kuwa ni kwa ajili ya watu high profile.
Makazi na kodi ya nyumba haipaswi kuwa ni vitu vya kuumiza kichwa.