Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi huyo? Kujenga ni woga tu. Hata ukisoma humu sababu za watu utasikia mara unaweza kupoteza kazi ukakosa kodi,mara biashara itakufa utakosa kodi,ada. Ukiangalia deep unaona ni woga tu. Muhimu tafuta hela, jenga kwa starehe sio hadi unajibana hela ya kula kisa woga utalala nje!Mkuu vipi nimuite yule rafiki yako anayependa nyumba aje kukupinga
Nakubaliana na wewe kujenga nyumba sio vita. Hata real estate naipinga kama unavyoipinga weweYupi huyo? Kujenga ni woga tu. Hata ukisoma humu sababu za watu utasikia mara unaweza kupoteza kazi ukakosa kodi,mara biashara itakufa utakosa kodi,ada. Ukiangalia deep unaona ni woga tu. Muhimu tafuta hela, jenga kwa starehe sio hadi unajibana hela ya kula kisa woga utalala nje!
Na woga wenyewe umeletwa na serikali,kwa sababu hatuna mifumo mizuri ya uendeshaji na ukuzaji uchumi kwa jamii, unaweza anzisha biashara vizuri tu ,ila serikali ikakuangusha na kukufilisiKujenga ni woga wa maisha!
Hiyo pesa ya mshahara na mikopo unayotumia kujenga miaka 5 au 7 saba nyumba ya vyumba 4 si bora ungeiingiza kwenye biashara miaka 5 upate pesa za kutosha kukuwezesha kujenga ndani ya mwaka 1 au 2 na umalize kabisa huku ukiendelea kujipatia kipato kwenye uwekezaji wa pembeni ?Biashara kabla ya ujenzi unatakiwa uwe makini sana, biashara ina sayansi yake. Nashauri jenga kwanza huku unafikiria hiyo sayansi ya biashara. Kumbuka katika mahitaji makuu ya binadamu, nyumba ipo ila biashara haipo, tafakari.
Benki au taasisi za umma zingekuwa zina nyumba nyingi na za aina tofauti za kupanga kwa bei nafuu, kusingekuwa sana na mihemko ya kujenga nyumba kwa kila mtu.
Tatizo watu binafsi wanapangisha bila kuzingatia haki na sheria za kupangisha. matokeo yake ni kunyanyasa wapangaji na mara nyingi kuwadhalilisha mbele ya familia zao. Hiyo ndiyo inayofanya watu wengi wajitahidi wajenge nyumba ingawa wataishi maisha ya tabu.
Kama huna kipato cha uhakika inabidi ukazane na ujitihadi kupata kipato cha uhakika na sio kukumbilia kuzika pesa kwenye kiwanja na nyumba ambayo haitakusaidia kupata hicho kipato cha uhakika.Mimi naona kuwa na nyumba ni muhimu sana kama huna kipato cha uhakika. Ila kama una uwekezaji wenye uhakika sidhani kama kuna haja ya kukimbilia kujenga
ahahah,mkuu wewe ushamaliza hekalu lako umehamia,Now unawapotosha vijana!Kujenga ni woga wa maisha!
Njoo na haya mawazo ukiwa na umri wa miaka 50Yupi huyo? Kujenga ni woga tu. Hata ukisoma humu sababu za watu utasikia mara unaweza kupoteza kazi ukakosa kodi,mara biashara itakufa utakosa kodi,ada. Ukiangalia deep unaona ni woga tu. Muhimu tafuta hela, jenga kwa starehe sio hadi unajibana hela ya kula kisa woga utalala nje!
Njoo na haya mawazo ukiwa na umri wa miaka 50 na kuendeleaKama huna kipato cha uhakika inabidi ukazane na ujitihadi kupata kipato cha uhakika na sio kukumbilia kuzika pesa kwenye kiwanja na nyumba ambayo haitakusaidia kupata hicho kipato cha uhakika.
Thread closedBinadamu Tuna vipao mbele vinavyo tofautiana.
Na Kuna watu wamekuja Duniani kufanikisha maisha ya watu wengine.
Hatuwezi fanya Biashara wote au kuajiriwa wote au kujenga wote.
Na chochote tufanyacho kinafaida kama sio kwangu basi kwa mwingine
Unaona jinsi ulivyo muoga? What is 50? Muhimu uwe na hela tu maana ukiwa na hela hata watoto wako utawapa hizo nyumba ukiwa na 50. Tafuta hela nyumba itakuja as a by-product na sio unajikakamua hadi ukose hela ya kula kisa unajenga.Njoo na haya mawazo ukiwa na umri wa miaka 50
Nimefanikiwa kujenga nyumba Moja ya kuishi Arusha, ambacho nimeona ni kwamba sitokuja jenga tena nyumba ya kuishi popote Tanzania instead nikifanikiwa kujenga ni za biashara tu na ni frames au mfano wa hv.Hapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumili nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu wasikae katika nyumba za kupanga.
Pia wafanyakazi wengi wako tayari wasiwe na chanzo kingine chochote cha kipato kwa kuelekeza pesa yao yote wanayoipata katika ujenzi wa nyumba badala ya uwekezaji unaoleta fedha ili tu waishi katika nyumba zao wenyewe.
Katika muktadha wa utaalamu wa kifedha ni sahihi hasa kwa vijana kuelekeza nguvu na pesa zote katika ujenzi badala ya kuwekeza pesa katika biashara ambazo zitazalisha pesa zaidi na baadaye ndipo suala la ujenzi wa nyumba lifikiriwe baada ya kuwa na uhakika wa mtiririko mzuri wa kipato cha uhakika?
Ukiwa na uoga katika maisha una 70% ya kufanikiwa kuwa na maisha mazuri baadae.Kujenga ni woga wa maisha!
Sio kweli, wastaafu wengi wakistaafu wanakuwa maskini kabisa.Ukiwa na uoga katika maisha una 70% ya kufanikiwa kuwa na maisha mazuri baadae.
Duh mpya hii.Ukiwa na uoga katika maisha una 70% ya kufanikiwa kuwa na maisha mazuri baadae.